Kinana ni bora ukajiuzuru sasa Makonda ni asset kwenye Chama wewe ni liability Makonda ameshinda chuki zinazoelekezwa kwake

Nigrastratatract nerve

JF-Expert Member
Sep 4, 2019
1,398
3,907
kitendo cha Kinana kupuuzwa maneno yake ya kufanya kazi kwa kuwawajabisha hadharani watumishi wa umma ni dhahiri Sasa siasa za Kinana hazina mvuto tena aachie damu changa ajiuzuru ndani ya CCM kumruhusu mwenyekiti ateue makamu mwenyekiti anayetaka kuendana naye na mwelekeo mpya kwa sababu falsafa za kinana na Makonda hacienda haziendani
 
Chawa mtoto.
 
Ama Kweli Kila zama na kitabu chake.

Leo kijana anekuwa asset!!!
 
Kinana ni hazina ya nchi, hata haya yanayotokea, ni juhudu za Kinana kumsaidia SSH kuendesha siasa kisayansi. Kundi la mwendazake lilimjengea hofu kwamba hawa wapinzani sio watu wazuri, Kinana akamwambia SSH, hawa ni wanasiasa, na sisi CCM tuna wanasiasa, twende kwa wananchi wakaamue.

Makonda ni mzigo, CDM wametulia tu kwa muda kabla hawajamuanzishia mashambulizi ya mfululizo.
 
Back
Top Bottom