Kinana na Nape ni janga la kitaifa

karekwachuza

JF-Expert Member
Dec 23, 2013
999
335
Sioni mantiki ya hawa watu kuendelea kuzunguka nchi nzima na kula hela za walipa kodi na wakiwa hawana msaada wowote huko wanakotembelea.

Mnashindwa kufanya mambo ya maana mnaanza kuwakosoa wenzenu kwenye majimbo yao,je mlikotoka nyie kuna maendeleo gani?

Acheni kudanganya wananchi.
 
Akili zao zinawaza kula ubwabwa tu ImageUploadedByJamiiForums1401004641.403104.jpg
 
Sioni mantiki ya hawa watu kuendelea kuzunguka nchi nzima na kula hela za walipa kodi na wakiwa hawana msaada wowote huko wanakotembelea,mnashindwa kufanya mambo ya maana mnaanza kuwakosoa wenzenu kwenye majimbo yao,je mlikotoka nyie kuna maendeleo gani?????acheni kudanganya wananchi

huyo kinana ni boksi kabisa hata kwenye account yake fb kaweka jinsia ya kike
 
Nakuwa na wewe wasiwasi na kufikiri kwako .Maana uposema anatumia fedha za walipa kodi aache kuamasisha chama chake si afadhali yeye kuliko anayezunguka nchi tangu 2010 baada ya uchaguzi akihamasisha watu wagome ?
Hilo ndilo jembe la Ccm . Wewe unataka msaada gani chapa kazi au endelea ku suburb Dr. Slaa auchukue nchi ili awashushie mikate. Hivi unajua ni kiasi gani Dr slaa analipwa na chama? Ni unisaidie mtupi
 
Sioni mantiki ya hawa watu kuendelea kuzunguka nchi nzima na kula hela za walipa kodi na wakiwa hawana msaada wowote huko wanakotembelea.

Mnashindwa kufanya mambo ya maana mnaanza kuwakosoa wenzenu kwenye majimbo yao,je mlikotoka nyie kuna maendeleo gani?

Acheni kudanganya wananchi.
Hizi ziara ni za ccm, wewe chadema uawashwa nini? Tulia acha dawa iingie vizuri
 
Nakuwa na wewe wasiwasi na kufikiri kwako .Maana uposema anatumia fedha za walipa kodi aache kuamasisha chama chake si afadhali yeye kuliko anayezunguka nchi tangu 2010 baada ya uchaguzi akihamasisha watu wagome ?
Hilo ndilo jembe la Ccm . Wewe unataka msaada gani chapa kazi au endelea ku suburb Dr. Slaa auchukue nchi ili awashushie mikate. Hivi unajua ni kiasi gani Dr slaa analipwa na chama? Ni unisaidie mtupi
Ilibidi uwachukia sana watu waliosababisha upate Elimu duni na kukunyima uwezo wa kufikiri na kuandika! pole sana bibie.
 
Sioni mantiki ya hawa watu kuendelea kuzunguka nchi nzima na kula hela za walipa kodi na wakiwa hawana msaada wowote huko wanakotembelea.

Mnashindwa kufanya mambo ya maana mnaanza kuwakosoa wenzenu kwenye majimbo yao,je mlikotoka nyie kuna maendeleo gani?

Acheni kudanganya wananchi.

Sera huuzwa,siasa ni kama buziness inaitaji marking na awereness na ili umshinde mpinzan lazima ujue weakness yake nakushaur nenda shule usome how to won political competition ndo utajua kuandika political movement analysis
 
Sioni mantiki ya hawa watu kuendelea kuzunguka nchi nzima na kula hela za walipa kodi na wakiwa hawana msaada wowote huko wanakotembelea.

Mnashindwa kufanya mambo ya maana mnaanza kuwakosoa wenzenu kwenye majimbo yao,je mlikotoka nyie kuna maendeleo gani?

Acheni kudanganya wananchi.
Umewajua leo? Hao ni majanga siku nyingi mbona?
 
Nakuwa na wewe wasiwasi na kufikiri kwako .Maana uposema anatumia fedha za walipa kodi aache kuamasisha chama chake si afadhali yeye kuliko anayezunguka nchi tangu 2010 baada ya uchaguzi akihamasisha watu wagome ?
Hilo ndilo jembe la Ccm . Wewe unataka msaada gani chapa kazi au endelea ku suburb Dr. Slaa auchukue nchi ili awashushie mikate. Hivi unajua ni kiasi gani Dr slaa analipwa na chama? Ni unisaidie mtupi
Mkuu singsong zoea kwanza touch screen ndo uanze kupost, ipo siku utamtukana mwenyekiti wako wa Chama ukiendelea pasipo kufuata ishauri wangu!
 
Last edited by a moderator:
Kinana na Nape ni janga la CCM wametengeneza CCM 2. CCM yao na CCM ya Jk ambayo inaserekali na CCM ya Kinana na Nape ambayo wanazunguka nayo nchi nzima kuishambulia CCM ya Jk yenye serekali.Kwa ujumla kuna CCM inayotawala na CCM inayoipinga CCM ilioko madarakani.
 
Kweli ccm sijui imewapa nini mnayoiunga mkono?mafisadi wako wapi?mmeewafunga?acheni kusapoti upuuzi
 
Kumbuka CCM ni ukoo wa panya (baba panya, mama panya, watoto panya, wajomba panya, washangazi panya). Kama uliwahi kunyofolewa na panya unajua jinsi panya wafanyavyo. Kama hujawahi uliza waliowahi kufanywa hivyo. N kwamba umelala usiku unaamka asubuhi unakuta miguu imetobolewatobolewa. -Unabia kushangaa ni nini kilichokupata! Panya hutafuna miguu ya binadamu huku wakipuliza - huwezi kusikia wala nini hadi umeatoka usingizini na wao washaondoka. Hawa jamaa wanapuliza, wakigeuka nyuma ya pazia wanatafuna. Watanganyika wakijajitambua kutakuwa kumekucha na mapanya yashojiondokea - mnabaki kutibu vidonda. Hawa ndio CCM, na hawa mapanya kinena na Nepi wako mstari wa mbele kutekeleza hiyo itikadi. Very sad :(
 
Back
Top Bottom