Kinana na Nape ni janga la kitaifa

Uliona wapi katibu wa chama kinana anamuwajibisha mwenyekiti wake kikwete? huo ndio u-ze comedy wa kinana na nape!!
 
Sera huuzwa,siasa ni kama buziness inaitaji marking na awereness na ili umshinde mpinzan lazima ujue weakness yake nakushaur nenda shule usome how to won political competition ndo utajua kuandika political movement analysis

Na wewe umeukwaa? du tutaisha mwaka huu.
 
attachment.php


Duh! jamaa linagawa maharage bila hata kunawa mikono!

Duh,jikombe ukombolewe!!
 
Viongozi wa CCM asilimia kubwa ni wendawazimutu, kwanza kinana kweli mtanzania? Napata shida kupata jawabu sahihi naomba msaada kwa wanajf. Pili nape inaonesha bado ana fikira za kizamani sana watz wa sasa hawadanganyika naona yeye na wajinga wenzie wanaigiza kula wali kwa maharage wajinga kweli. Viongozi wa CCM ni janga la kitaifa kabisa wananchi tuwakatae kwa nguvu zote aiseeeeeeeeeeee. Baadhi ni washirikina sana hadi nimekumbuka mbwembwe za Vicky Kamata na majigambo mwisho wa siku kabla ya saa 36 hoi kitandana nadhani mjomba hakupenda iwe vile! Hahahahaah uzinzi bongo noma sana hasa kwa maccm
 
Sioni mantiki ya hawa watu kuendelea kuzunguka nchi nzima na kula hela za walipa kodi na wakiwa hawana msaada wowote huko wanakotembelea.

Mnashindwa kufanya mambo ya maana mnaanza kuwakosoa wenzenu kwenye majimbo yao,je mlikotoka nyie kuna maendeleo gani?

Acheni kudanganya wananchi.

Wameona nchi haina upinzani wenye tija wameamua kujaza pengo kuwa watawala na wapinzani muda huohuo
 
Back
Top Bottom