Kabuche1977
JF-Expert Member
- Feb 10, 2009
- 564
- 228
Halafu mimi nimemshangaa jamaa, anasema marekani wao uchumi wao mkubwa, lakini hajaongelea kuhusu marekani wakati ina uchumi kidogo, yeye ameng'ang'ania tu kuhusu nchi maskini, halafu haileti maana yoyote, make mimi nilitegemea kuwa kutokna na sisi kuwa maskini basi tunahitaji kubana matumizi ambayo pia ni kubana mfumo mzima wa utendaji, yeye ndo alizidi kusema kuwa kwa nchi maskini tunahitaji kuwa na serikali kubwa ili kufanikisha utendaji, je utendaji unahitaji wingi wa watu au utekelezaji wa sera na dira? Dr. Slaa kweli ana akili sana, makehata yeye alisema utekelezaji wa sera hatuhitaji kundi la watu au kufurahisha kundi la watu, tunahitaji watu makini tu na waadilifu, wenye moyo wa kulitumikia taifa lao----real PATRIOTIC PEOPLE na wala sio kundi la watu 60, halafu waadilifu 2.Slaa anaweza, anapanga point sana.yaani hawa CCM kila kitu wao hawawezi! eti haiwezekani kuwa na mawaziri 20! ajabu kweli kweli.
Kinana amekubali kuwa ahadi ni nyingi, na kudai kuwa ni ahadi za kiongozi ila sio za chama
Halafu mimi nimemshangaa jamaa, anasema marekani wao uchumi wao mkubwa, lakini hajaongelea kuhusu marekani wakati ina uchumi kidogo, yeye ameng'ang'ania tu kuhusu nchi maskini, halafu haileti maana yoyote, make mimi nilitegemea kuwa kutokna na sisi kuwa maskini basi tunahitaji kubana matumizi ambayo pia ni kubana mfumo mzima wa utendaji, yeye ndo alizidi kusema kuwa kwa nchi maskini tunahitaji kuwa na serikali kubwa ili kufanikisha utendaji, je utendaji unahitaji wingi wa watu au utekelezaji wa sera na dira? Dr. Slaa kweli ana akili sana, makehata yeye alisema utekelezaji wa sera hatuhitaji kundi la watu au kufurahisha kundi la watu, tunahitaji watu makini tu na waadilifu, wenye moyo wa kulitumikia taifa lao----real PATRIOTIC PEOPLE na wala sio kundi la watu 60, halafu waadilifu 2.
Watarudia leo saa 5 usiku, lakini nahic nimbinu nyingine ya ccm kumpunguzia kura slaa, kwan wanamuuliza maswal akitaka kujibu tu wanasema mda hautoshi,lakin kinana anajieleza mwenyewe mpaka anachoga bila kukatishwa. Inakera kwakwel, lakin kunamtu amepiga cm na kulizungumzia hli, mtangazaji aibu imemjaaa....
kumbe uliona eh? Nilifurahi sana step fulani kabla ya zile dakika 30 walizoongezwa mtangazaji akataka kumkata dr slaa kwa kumuambia 'muda umetuishia' na mzee mzima kumjibu kuwa 'ngoja nimalize kufafanua hili, mngekuwa hamna muda msingeniita!' niliipenda sana hii.
huko kwa christina mbezi alikokuwa kinana ndio kabisa kulikuwa hakuna kitu kuonyesha waandishi wetu walivyo waoga kuuliza maswali magumu.
Jinsi mlivyo yapania marudia nahisi kama habari zitafika kwa mkwere atamshtua dialo kuwa aamuru tv yake isirudie hicho kipindi kwa sababu yaliyoongelewa ni uchochezi tena wenye lengo la kuwabagua watz kidini na kikabila hali itakayo leta uvunjifu wa amani na umwagaji damu! HAKIRUDIWI TENA WAUNGWANA TUOMBE MUNGU YASITOKEE
Kosa ni la CCM. Viongozi wa CCM kujificha ficha.
Lakini hata hivyo yaonekana Mgombea wa CCM siyo the best kutoka ktk chama chao ndo maana anakingwa ili asiseme utumbo.
Nawashauri wamuelimishe maana akiendelea kuwa Rais ni huyo huyo atakayesema mengi ya ajabu tena kwa niaba ya nchi. Naelewa tatizo alilonalo, hafundishiki, ni kama kuni mbichi -hauwaki.
Thanks, naangalia.