Kinana: Lowassa ni Rafiki yangu

Hakuna Muislam aogopae kufa, kumbuka hilo.

Ukimuona Muislam anaogopa kufa ujuwe huyo ana walakin.

Kuna mtu anaogopa haki yake? umauti ni haki ya kila binaadam.
Tatizo ukiwa na dhambi lazima uogope kufa.
 
Bendera hufuata upepo unakoelekea lakini kamwe upepo haufuati bendera mr sizitaki mbichi hizi
 
ushahidi mnao mbona hamkumshatik mpaka anarudisha tuhuma kuwa tatizo ni uwaziri mkuu,pia alisema yeye alipewa maelekezo kutoka juu nani alie kuwa mkuu wake wakazi wakati huo,why kijana kama weweunaendeleza stupidity allegation??kumchafua au kumtusi Lowassa kumeanza since 2007 now ni miaka tisa pesa iliopigwa ya richmond haijarudi mitambo yake inatumiwa na symbion company mpaka leo huwa napata mashaka sana unauwezo wenu wakufikiri watu kama wewe
 
Mbona Nape hafi?? Mungai nae alimsema Lowassa mgonjwa?
 
Story za kwenye kahawa hizo..
 
Kuna waziri mmoja alishathubutu kusema kumpeleka Lowassa Ikulu pale siyo ward ya wagonjwa akae chonjo wote Hao inawezekana wapo katika orodha kipaumbele ya Mungu
 
Hawa wametoka mbali! Wanajuana sana na muda mrefu! Mengine matokeo tu
 
Ahahaaaaaa
 
Acha masihara kifo kinatisha wewe!!


Kinatisha nini? Kifo ni haki na sote tutakufa, au hulijuwi hilo?

Kama unakiogopa kifo anza kurudi kwa mola sasa, Enter into Peace Now siyo ungoje wakuombee u Rest in Peace.
 
Kinatisha nini? Kifo ni haki na sote tutakufa, au hulijuwi hilo?

Kama unakiogopa kifo anza kurudi kwa mola sasa, Enter into Peace Now siyo ungoje wakuombee u Rest in Peace.
Najua tutakufa ila haiondoi ukweli kwamba kifo kinatisha na kinaogofya!!
 
Mkuu mbona mimi sikumbuki kama Mzee Kinana alinena hayo?
Zaidi nakumbuka alivyokuwa akimuonya Nape alipokuwa akimsema Mzee Lowassa ktk ile mikutano yao waliyozunguka nchi nzima kabla ya uchaguzi.
Kinana na Jeikei walikuwa wanakwepa kumnanga Mmasai juu ya afya yake, sijui kwa nini?
 

Bado mbunge mmoja wa mkoa wa kanda ya ziwa, nadhani Geita na nadhani anaenda kwa jina la "Masakumea".....huyu sidhani kama hata kama ataumaliza mwaka huu!!

Huyu jamaa ana mdomo mchafu balaa. Alimnenea kila aina ya neno chafu huyu mzee wa watu kisa eti wapate madaraka kilaghai!!

Na pia utadhani yeye huyu bwana hakuzaliwa na mwanamke na labda haendagi chooni kumbe mla ugali mwekundu wa mtama ule wa kisukuma!!
 
Usipate shaka akuna anae msingizia uovu maMvi, yeyemwenyewe anajua swala la ufisadi hasingiziwi ni fisadi hasa. Ila tumezoea kuwaona watu kama nyinyi mkijitaidi kumsafisha ila mwishowake mnatumika nakutupwa. Dr slaa aliwaeleza mnatoa choo shimoni mnaingiza ndani sasa vumilieni harufu msizibe pua maana wote mnanukasasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…