The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,984
- 13,479
Kinana hana jipya la kuleta zaidi ya kuendeleza ufisadi kama kawaida yake. Nadhani naye kama Msekwa na Makamba amerejea kuwatafutia watoto wake kazi hasa za kisiasa. Sioni mwanga kwenye NEC mpya zaidi ya kuwa ngoma ile ile ya manyang'au. Hata hivyo hatua waliyopiga CCM kuelekea makaburini ni nzuri kwa upinzani kama utajipanga vizuri.