Kinana live chanel ten muda huu

Kinana live chanel ten muda huu

Ukimchunguza vizuri ni kama mtu mwenye cheo lakini hana mamlaka ndani ya chama.
I don't know why?
 
Kwa mwendo huu wa kukwepa kujibu maswali magumu, kweli CCM itakuwa tayari kwa midahalo ya kisiasa?
 
😛opcorn::whistle::A S angry::A S angry:
 
CCM bana promo wanapata lakini pumzi ndogo, em assume kingekuwepo kichwa Slaa, au Lissu ingekuweje
 
Hata ivo inaonekana kabisa kuwa kuna mpango wa kumuinua kinana mpaka kuwa mgombea wa uraisi, hicho ndo nakiona. na lengo ni ku kupunguzw moto wa mh. lowasa. anaebisaha aseme hapw
 
....na hivi ndo vichwa vya chama, eti huyu ndo Dr.Slaa wao, kweli CCM ni genge la vilaza
Kama kuna kada yoyote wa CCM ameangaalia kipindi hichi, nina uhakika atakuwa kaingiwa na woga mkubwa sana wa kuogopa kufanya mahojiano au midahalo.

Maana kama katibu mkuu mwenyewe hana majibu ya uhakika kuhusu chama anachokiratibu usiku na mchana, vipi makada wadogo?
 
Nimemsikiliza mwanzo mwisho.Yaani Kinana ni mtupu kabisa.Nimeamini Mukama alikuwa jembe.Kumlinganisha Mukama na Kinana ni sawa na kumlinganisha Tembo na Sisimizi.Kumuondoa Mukama CCM inakwenda kufa.
 
Huyu Kinana hata Aweda wa JF anaweza kumgaragaza kwenye mdahalo.
Hovyo kabisa.
 
Kama kuna kada yoyote wa CCM ameangaalia kipindi hichi, nina uhakika atakuwa kaingiwa na woga mkubwa sana wa kuogopa kufanya mahojiano au midahalo.

Maana kama katibu mkuu mwenyewe hana majibu ya uhakika kuhusu chama anachokiratibu usiku na mchana, vipi makada wadogo?

Mkuu sio kwamba hawajui kama wameingiza boya, ila ni kwamba ktk mayai viza hili ndo lenye afadhali, sasa limechemshwa na wanachama hawana jinsi inabidi wapungie tu
 
Hata ivo inaonekana kabisa kuwa kuna mpango wa kumuinua kinana mpaka kuwa mgombea wa uraisi, hicho ndo nakiona. na lengo ni ku kupunguzw moto wa mh. lowasa. anaebisaha aseme hapw
Nani huyo anamuinua Kinana?

Mkuu mgombea urais wa CCM 2015 yupo mikononi mwa Fisadi Lowassa.

kama alifanikisha JK kuwa rais, akamfanikisha Sitta kuwa spika, na kisha akafanikisha kumng'oa Sitta kwenye uspika, akampa zali Makinda kuwa spika, akamng'oa Msekwa na Mukama kwenye umakamu na ukatibu, Akamchinjia porini Sumaye nk.

Nani anaweza kupambana na fisadi Lowassa ndani ya CCM?
 
CCM ndio inaingia kaburini,Huyu bwana nimeona kwenye mitandao ya kijamii akisifiwa sana kuwa ni mtu makini na mwenye uwezo wa kijenga na kujibu hoja. Ila cha kusikitisha uwezo wake ni mdogo sana Pindi alipoulizwa swali kuhusu uhusiano wa kati ya kampuni yake na Pembe za ndovu zilizokamatwa huko China. Ametoa jibu kwa jazba bila kujua kuwa watu wanamtizama na kumsikiliza.
¨Kaiulize serikali na vyombo husika kama unataka kujua,inaelekea una malengo yako kuuliza hilo swali .Kwa hiyo ili kukamilisha hayo malengo yako nenda serikalini kwenye vyombo husika¨ mwisho wa kunukuu. Huyu si mtu makini hata siku moja na muda unavyokwenda tutamfahamu zaidi.

Mnyika alishasema Jk ni dhaifu. Kama ni kweli kiongozi dhaifu lazima awe na maono na uteuzi dhaifu katika safu ya wasaidizi wake.
 
Nimemsikiliza mwanzo mwisho.Yaani Kinana ni mtupu kabisa.Nimeamini Mukama alikuwa jembe.Kumlinganisha Mukama na Kinana ni sawa na kumlinganisha Tembo na Sisimizi.Kumuondoa Mukama CCM inakwenda kufa.
Umeona eeeh!!
Badala ya Kinana kufunguka kisawasawa, yeye amebaki kumbwelambwela tu.

Halafu Mkwele anasisitiza makada wa CCM waende mitaani wakajibu hoja za wapinzani. How?

Kwa mtindo huu bora Mzee Makamba alizuia midahalo kwa wagombea wa CCM, maana alishasoma alama na kuona kuwa CCM kumejaa vilaza watupu.
 
Back
Top Bottom