Mindi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2008
- 3,523
- 4,991
chadema wanafikiri nguvu ya umma ni maandamano!!!
Well said mkuu!! lakini hebu nikuulize, ile 4-nil ya Arusha ilikuwa kwenye maandamano pia?
chadema wanafikiri nguvu ya umma ni maandamano!!!
Huyu kilaza ana meli za kusafirisha meno ya tembo!
Can you imagine Secretary General wa Labour Party,au Republican awe anacheza mchezo huu?ni Tanganyika tuu hii inawezekana
Angeyasema hayo mbele ya Dr Slaa pale walipotakiwa kushiriki katika mdahalo wa ITV ningemchukulia seriously lakini alikimbia mbio na kuendelea na siasa zake za vichakani.Tumewachoka Wanasiasa waoga wa Midahalo kutoka CCM.
Mkuu umenena kweli,hao uliowataja wanawanyima usingizi,na kwa nyongeza,habari nilizozipata muda mfupi uliopita kamanda Lema ameonekana Loliondo kwa ajili ya kupiga kazi,asubuhi hii amewasili huko
Kwa jinsi unavyocomment tu ni obvious wewe ni form four aliefeli na kupata ziro,make watu wako kwenye mjadala mwingine we unaandika ujinga wako
Hata kama ni kweli ule msukule wa Igunga anaotembea nao Mwigulu kwa kutaka huruma Arusha mumeuchoma wenyewe halafu mnamdanganya nani?
Usianze kukimbia kimbia, hilo neno ambalo umetumia "huwa" linapaswa kuwa mahali hapo?
Usilete habari za "ua" wakati mimi nimeuliza "huwa".
Well said mkuu!! lakini hebu nikuulize, ile 4-nil ya Arusha ilikuwa kwenye maandamano pia?
Nakubaliana na wewe kabisa!! hebu niambie, ile 4-0 ya arusha ilikuwa nguvu ya nini?
kibanda alishamaliza kazi, kinana is astrategist leader, hachafuliki kirahisi, ndio anayewanyima usingizi magaidi kwa sasa. Katibu mkuu mporaji wa wake za watu, anajimilikisha ruzuku ya chama, anatelekeza familia, je huo ndio uongozi?
Naona umekazia sana suala la kumuita huyu jamaa BWANA??
Kulikoni au tayari ni BWANA wako????
chadema wanafikiri nguvu ya umma ni maandamano!!!
Sanduku la kura linakuja likiwa limejaa kura za wizi hahahaha !!!! kumbe Wizi kwa maCCM ni Nguvu ya umma?WanaJF!
Katibu mkuu wa CCM, bwana Kinana, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu msemo 'nguvu ya umma' kwani msemo huu umekuwa ukitumiwa kimakosa na CHADEMA.
Bwana Kinana kama ilivyo ada kwake, uwa hapendi kuona udanganyifu na upotoshaji ukifanywa, kwani yeye ni mtu mkweli na hupenda kuona haki ikisimama.
Bwana Kinana amesema kuwa, "nguvu ya umma ipo kwenye sanduku la kupiga kura, kwa kuwa CCM ilipata kura nyingi kwenye uchaguzi mkuu, hivyo nguvu ya umma ipo kwa CCM".
Maneno hayo ya hekima yaliyo tolewa na bwana Kinana amekuwa akiyasema mara kwa mara ili kuelewesha wananchi maana halisi ya nguvu ya umma ili wananchi sasa wahoji ni nguvu gani ya umma ambayo CHADEMA wana imaanisha!
Usiwamushe, waache waendelee kuipromo CDM!Hivi kuna watu wasipoanzisha thread zinazoizungumzia CDM kwa siku nzima wanaona hawajafanya kazi
Huyu jamaa kila ukifungua uzi anaouanzisha either utamzungumzia Mbowe au Slaa au Lema au Mnyika au ni lazima iwe na jambo linaloihusu CDM
Mbona kuna mambo mengi sana ya kujadili na ya kusaidia taifa na hayapi kipaumbele kama anavyofanya kwa hozo habari za Chadema
Hivi kuna watu wasipoanzisha thread zinazoizungumzia CDM kwa siku nzima wanaona hawajafanya kazi
Huyu jamaa kila ukifungua uzi anaouanzisha either utamzungumzia Mbowe au Slaa au Lema au Mnyika au ni lazima iwe na jambo linaloihusu CDM
Mbona kuna mambo mengi sana ya kujadili na ya kusaidia taifa na hayapi kipaumbele kama anavyofanya kwa hozo habari za Chadema