Kinana: CHADEMA wana potosha maana ya 'nguvu ya umma'

Huyu kilaza ana meli za kusafirisha meno ya tembo!

Can you imagine Secretary General wa Labour Party,au Republican awe anacheza mchezo huu?ni Tanganyika tuu hii inawezekana

kibanda alishamaliza kazi, kinana is astrategist leader, hachafuliki kirahisi, ndio anayewanyima usingizi magaidi kwa sasa. Katibu mkuu mporaji wa wake za watu, anajimilikisha ruzuku ya chama, anatelekeza familia, je huo ndio uongozi?
 
Angeyasema hayo mbele ya Dr Slaa pale walipotakiwa kushiriki katika mdahalo wa ITV ningemchukulia seriously lakini alikimbia mbio na kuendelea na siasa zake za vichakani.Tumewachoka Wanasiasa waoga wa Midahalo kutoka CCM.

Mkuu umenena kweli,hao uliowataja wanawanyima usingizi,na kwa nyongeza,habari nilizozipata muda mfupi uliopita kamanda Lema ameonekana Loliondo kwa ajili ya kupiga kazi,asubuhi hii amewasili huko
 
Mkuu umenena kweli,hao uliowataja wanawanyima usingizi,na kwa nyongeza,habari nilizozipata muda mfupi uliopita kamanda Lema ameonekana Loliondo kwa ajili ya kupiga kazi,asubuhi hii amewasili huko

kuna kanisa linazinduliwa huko? Hatujasahau ya olasiti
 
Kwa jinsi unavyocomment tu ni obvious wewe ni form four aliefeli na kupata ziro,make watu wako kwenye mjadala mwingine we unaandika ujinga wako

Hata kama ni kweli ule msukule wa Igunga anaotembea nao Mwigulu kwa kutaka huruma Arusha mumeuchoma wenyewe halafu mnamdanganya nani?

ndio roho za kigaidi zilivyo..kumwita mtu mliyemtesa kwa tindikali msukule inadhihirisha dhamira yenu ya kumdhuru na jinsi mlivofanikiwa. Chadema ni wauwaji daima..sumu na tindikali ndio zenu
 
kibanda alishamaliza kazi, kinana is astrategist leader, hachafuliki kirahisi, ndio anayewanyima usingizi magaidi kwa sasa. Katibu mkuu mporaji wa wake za watu, anajimilikisha ruzuku ya chama, anatelekeza familia, je huo ndio uongozi?

Kila siku ccm mnasema anajilikisha wake za watu! Leo naanza na wewe: ni mara ngapi umemuona asubuhi anatoka chumbani kwa mama yako? Na mbona hujaanza kumuita baba?
 
He must have taken leave of his faculties!! anyway CDM haina haja na consultancy yake; yeye ajue anavyotaka na CDM ibaki inavyojua; he has enough troubles on his plate without taking up this!!
 
nyie chadema mmeanza kumsumbua tena mzee wa pembe? hamjui ndovu wote duniani ni ngombe ya kule kismayu wengine mnajifanya tu urithi urithiiiiiiiiii
 
HAMY-D naomba kwanza uniambie kuhusu ibara ya 8 ya katiba ya CCM inasemaje. Ukishaniambia nitakuuliza swali kutokana na mada yako uliyoiweka.

Hebu wewe mpiga debe wa buku saba tueleze maana ya kile kiitikio cha wimno wenu wa ccm ni numberi one
 
WanaJF!

Katibu mkuu wa CCM, bwana Kinana, ametoa ufafanuzi wa kina kuhusu msemo 'nguvu ya umma' kwani msemo huu umekuwa ukitumiwa kimakosa na CHADEMA.

Bwana Kinana kama ilivyo ada kwake, uwa hapendi kuona udanganyifu na upotoshaji ukifanywa, kwani yeye ni mtu mkweli na hupenda kuona haki ikisimama.

Bwana Kinana amesema kuwa, "nguvu ya umma ipo kwenye sanduku la kupiga kura, kwa kuwa CCM ilipata kura nyingi kwenye uchaguzi mkuu, hivyo nguvu ya umma ipo kwa CCM".

Maneno hayo ya hekima yaliyo tolewa na bwana Kinana amekuwa akiyasema mara kwa mara ili kuelewesha wananchi maana halisi ya nguvu ya umma ili wananchi sasa wahoji ni nguvu gani ya umma ambayo CHADEMA wana imaanisha!
Sanduku la kura linakuja likiwa limejaa kura za wizi hahahaha !!!! kumbe Wizi kwa maCCM ni Nguvu ya umma?
 
Hivi kuna watu wasipoanzisha thread zinazoizungumzia CDM kwa siku nzima wanaona hawajafanya kazi
Huyu jamaa kila ukifungua uzi anaouanzisha either utamzungumzia Mbowe au Slaa au Lema au Mnyika au ni lazima iwe na jambo linaloihusu CDM
Mbona kuna mambo mengi sana ya kujadili na ya kusaidia taifa na hayapi kipaumbele kama anavyofanya kwa hozo habari za Chadema
Usiwamushe, waache waendelee kuipromo CDM!
 
Hivi kuna watu wasipoanzisha thread zinazoizungumzia CDM kwa siku nzima wanaona hawajafanya kazi
Huyu jamaa kila ukifungua uzi anaouanzisha either utamzungumzia Mbowe au Slaa au Lema au Mnyika au ni lazima iwe na jambo linaloihusu CDM
Mbona kuna mambo mengi sana ya kujadili na ya kusaidia taifa na hayapi kipaumbele kama anavyofanya kwa hozo habari za Chadema

Usimlaumu ndio uwezo wake wa kufikiri ulipogota. Nasikia hayo ndio mafunzo ya Green Guard
 
Hahaaa!

Ingekuwa hivyo Morsi, Gadafi,syria kule na madikteta wengine wanao shindaga uchaguzi kwa Asilimia 90. Wangekuwa wapo madarakani.

Lakini mshindi kwenye kura ni 90% ila wakiambiwa wajitokeze waliopiga kura hakuna na hawaonekani.

Hiyo ya Kinana aka KiPUSA na MaCCM ni NGUVU ya MARUANI na sio UMMA.
 
Back
Top Bottom