KINANA azidi kuitaabisha CHADEMA

KINANA azidi kuitaabisha CHADEMA

kiwaya

Member
Joined
Oct 6, 2012
Posts
62
Reaction score
9
CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake

1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza

2;Dr Slaa leo anaanza kuhaha kwa waandishi wa habari kuwa Kinana anataka kumvua ubunge Lissu hii ni dhairi CHADEMA sasa inaweweseka. Lissu haina haja ya kumvua ubunge mahakamani wananchi wameshamchoka yeye asubiri 2015.

UMAARUFU WA CHADEMA UNAPOROMOKA KILA SIKU KUTOKANA NA UDHAIFU MKUBWA VIONGOZI WA CHADEMA NA UROPOKAJI WA WABUNGE WAO
 
Kei jaribu kujifunza typing hueleweki.
 
Umetumiwa ngapi mpka kutuletea uzi huu. Kama CCM haiogopi ije hadharani kutwambia
1. Ni akina nani wameficha mabilioni USWISS?
2. Ni nani anaua tembo wetu na kwa nini hawakamatwi wakati wana intelligensia kibao
3. Tunapata nini kwenye raslimali za asili kama vile madini ya dhahabu, almasi, Tanzanite.
4. Kuna manufaa gani kwenye safari za Mkulu nje ya nchi tangu aingie madarakani?
5. Ni nini faida ya ujio wa viongozi wakuu wa nchi kubwa duniani hapa Tanzania
6. Kwa nini makampuni mengi ya madini karibu yote yanatoka Kanada
7. Je wametumia hekima gani kumaliza mgogorowa Mtwara?
8. Makamu MKiti Bara alituambiakuwa ndani ya miezi sita atakuwa amewawajibisha waliotoa
rushwa kwenye kura za maoni na leo kaja na single ingine kwamba wameongezewa tena
miezi sita mingine.
9. Je ile filamu ya kujivua Gamaba iliishia wapi?
10. Je mliwachukulia hatua gani waasisi wa CCJ?
11. Mtafanyaje kwenye uchaguzi ujao wakati mshajua baadhi ya vigogo wenu washaanza
kupita pita makanisani na misikitini?
12. Unakumbuka ILANI ya CCM kuhusu kuanzisha Mahakama ya KADHI iwapo mngepewa
dhamana?
13. Utatuambiaje juu ya watoto wetu kufeli na kuchakachua tena matokeo kuondoa aibu?14. Unasemaje juu ya kuacha raslimali zetu mikononi mwa wawekezaji afu tunapitisha
bakuli dunia nzima kuomba misaada?
15. Unasemaje kesi ya akina Mramba kukaa miaka sita mahakamani bila kusikilizwa?
16. Inakuwaje Mahalu kushinda kesi dhidi ya serikaliwakati iliungwa mkono na watawala
wote?
Unaonaje ukileta uzi wa kuzungumzia masuala na siyo watu
 
Mwongezeee inakuwaje wachina wasombe mchanga wa dhahabu kidharau namna hile chini ya serikali ya ccm?
 
Huo umaurufu wa CDM ni wapi umeporomoka...?
 
Wanao husika na haya yote uliyotaja ni slaa,mbowe,ndesamburo,mtei,na baadhi ya wafazili wa chadema.
 
Cdm twende kazi kumbe walikuwa hawatujui kwa sasa ni mtuai,vuru na mandamano chezea sisi wewe.
 
CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake

1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza

2;Dr Slaa leo anaanza kuhaha kwa waandishi wa habari kuwa Kinana anataka kumvua ubunge Lissu hii ni dhairi CHADEMA sasa inaweweseka. Lissu haina haja ya kumvua ubunge mahakamani wananchi wameshamchoka yeye asubiri 2015.

UMAARUFU WA CHADEMA UNAPOROMOKA KILA SIKU KUTOKANA NA UDHAIFU MKUBWA VIONGOZI WA CHADEMA NA UROPOKAJI WA WABUNGE WAO
Hii dhana ya CDM kuwa maarufu mnaitoa wapi?. Hakiwezi kuwa chama maarufu kikakosa kupewa madaraka na wananchi toka 1995.

Umaarufu wa chama unapimwa kwenye sanduku la kura, kwa maana hiyo, ukiangalia kuanzia mwaka 1995 utaona hawama umaarufu wowote kwenye eneo la siasa Tanzania zaidi ya kutafuta umarufu kwa kidnapping.
 
Saa ya ukombozi inakaribia ndo maana majaribu ni mengi sana! Hakika hakuna atakayeweza kuididimiza nguvu ya umma!! Waana wa Lumumba mnajisumbua bure tu!?
 
Umetumiwa ngapi mpka kutuletea uzi huu. Kama CCM haiogopi ije hadharani kutwambia
1. Ni akina nani wameficha mabilioni USWISS?
2. Ni nani anaua tembo wetu na kwa nini hawakamatwi wakati wana intelligensia kibao
3. Tunapata nini kwenye raslimali za asili kama vile madini ya dhahabu, almasi, Tanzanite.
4. Kuna manufaa gani kwenye safari za Mkulu nje ya nchi tangu aingie madarakani?
5. Ni nini faida ya ujio wa viongozi wakuu wa nchi kubwa duniani hapa Tanzania
6. Kwa nini makampuni mengi ya madini karibu yote yanatoka Kanada
7. Je wametumia hekima gani kumaliza mgogorowa Mtwara?
8. Makamu MKiti Bara alituambiakuwa ndani ya miezi sita atakuwa amewawajibisha waliotoa
rushwa kwenye kura za maoni na leo kaja na single ingine kwamba wameongezewa tena
miezi sita mingine.
9. Je ile filamu ya kujivua Gamaba iliishia wapi?
10. Je mliwachukulia hatua gani waasisi wa CCJ?
11. Mtafanyaje kwenye uchaguzi ujao wakati mshajua baadhi ya vigogo wenu washaanza
kupita pita makanisani na misikitini?
12. Unakumbuka ILANI ya CCM kuhusu kuanzisha Mahakama ya KADHI iwapo mngepewa
dhamana?
13. Utatuambiaje juu ya watoto wetu kufeli na kuchakachua tena matokeo kuondoa aibu?14. Unasemaje juu ya kuacha raslimali zetu mikononi mwa wawekezaji afu tunapitisha
bakuli dunia nzima kuomba misaada?
15. Unasemaje kesi ya akina Mramba kukaa miaka sita mahakamani bila kusikilizwa?
16. Inakuwaje Mahalu kushinda kesi dhidi ya serikaliwakati iliungwa mkono na watawala
wote?
Unaonaje ukileta uzi wa kuzungumzia masuala na siyo watu
Hapa husitegemee majibu sana sana tarajia vitisho na kuambiwa huu ni uchochezi.
 
Hii dhana ya CDM kuwa maarufu mnaitoa wapi?. Hakiwezi kuwa chama maarufu kikakosa kupewa madaraka na wananchi toka 1995.

Umaarufu wa chama unapimwa kwenye sanduku la kura, kwa maana hiyo, ukiangalia kuanzia mwaka 1995 utaona hawama umaarufu wowote kwenye eneo la siasa Tanzania zaidi ya kutafuta umarufu kwa kidnapping.
Lini CCM imeshinda tume ya kijambazi wizi wa kura kila mahali kuua watu ndio unasema ushindi usilete ujinga CCM kiboko chake wananchi wanaleta ujinga wanazomewa tuu
 
umekiri kitu kimoja kuwa umaarufu wa chadema unaporomoka je ni lini uliwahi kukiri kuwa chadema inapanda umaarufu?
funguka kuna kitu akili inafahamu lakini mwili unabisha.
 
Lini CCM imeshinda tume ya kijambazi wizi wa kura kila mahali kuua watu ndio unasema ushindi usilete ujinga CCM kiboko chake wananchi wanaleta ujinga wanazomewa tuu
Kabla hujapata uwezo wa kujenga hoja kwenye majukwaa ya watu wazima kama JF, kajifunze kwanza kuandika sentesi vizuri ili kwanza tukielewe kile unachokiandika kabla ya kuielewa mantiki ya kile unachokiandika.
 
CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake

1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza

2;Dr Slaa leo anaanza kuhaha kwa waandishi wa habari kuwa Kinana anataka kumvua ubunge Lissu hii ni dhairi CHADEMA sasa inaweweseka. Lissu haina haja ya kumvua ubunge mahakamani wananchi wameshamchoka yeye asubiri 2015.

UMAARUFU WA CHADEMA UNAPOROMOKA KILA SIKU KUTOKANA NA UDHAIFU MKUBWA VIONGOZI WA CHADEMA NA UROPOKAJI WA WABUNGE WAO
ever since the world was created...wew ndo mpumbavu wa kwanza na hakuna aliye vunja rekod yako kwa upumbav wako..ur doomed.ondoa hiyo takataka yake shwaini wewe
 
Umetumiwa ngapi mpka kutuletea uzi huu. Kama CCM haiogopi ije hadharani kutwambia:Jee wewe umelipwa ngapi? au nyinyi ndio wasema ukweli tuu.
1. Ni akina nani wameficha mabilioni USWISS? list SI IPO KWA wabunge wa CDM sii ndio wenye agenda hiyo, na mna wajua hao wote ukianza na MTEI,nk......
2. Ni nani anaua tembo wetu na kwa nini hawakamatwi wakati wana intelligensia kibao: Ni majangili wakiwemo wengi wa kutoka Arusha na Kilimanjaro, ushahidi ni kuwa area kubwa ya usafirishaji ni sehemu hizo.
3. Tunapata nini kwenye raslimali za asili kama vile madini ya dhahabu, almasi, Tanzanite,KODI,AJIRA, MZUNGUKO wa PESA na Hasara vilevile.
4. Kuna manufaa gani kwenye safari za Mkulu nje ya nchi tangu aingie madarakani? MATOKEO YA SAFARI YAKE YA UJAPAN NI USHAHIDI TOSHA, ni kama unamuda wa kusoma magazeti inayo onyesha mikataba inayosainiwa
5. Ni nini faida ya ujio wa viongozi wakuu wa nchi kubwa duniani hapa Tanzania: MISAADA YA HEALTH, EDUCATION , AND ECONIMICAL ASSISTANCE na tusisahau uwekezaji na PUBLICITY YA AINA YA PEKEE.....
6. Kwa nini makampuni mengi ya madini karibu yote yanatoka Kanada : IT WAS THE BEST MINNING DESTINATION DURING THE 60s, SO MANY COMPANIES WERE BASED THERE, THESE COMPANIES HAVE THE BEST EXPERIENCE, FINANCES AND ABILITY>>>
7. Je wametumia hekima gani kumaliza mgogorowa Mtwara? ENGAGEMENT, COMMUNICATION SKILLS na kitu muhimu kabisa IS TO EXPOSE ALL THOSE WALIOKUWA NI WACHOCHEZI NA WANOTAKA KUVURUGA NCHI YETU.
8. Makamu MKiti Bara alituambiakuwa ndani ya miezi sita atakuwa amewawajibisha waliotoa
rushwa kwenye kura za maoni na leo kaja na single ingine kwamba wameongezewa tena miezi sita mingine.: Makamu MKiti Bara ALIWAAMBIA WANA CM SIO WEWE WALA CDM, Makamu MKiti Bara IS WELL KNOWN FOR BEING A MAN OF PRINCIPALS AND WHO KEEPS HIS WORDS, LAZIMA TUTAYAONA MATOKEO.
9. Je ile filamu ya kujivua Gamaba iliishia wapi? BADO INAENDELEA, LAKINI SIVYO KAMA MLIVYOITAFSIRI, GAMBA HALIVULIWI KAMA SHATI, LINA KAZI NYINGO. BORA TUWE NA SUBIRA KWA WALE TUPENDAO MAZURI KWA KILA CHAMA.
10. Je mliwachukulia hatua gani waasisi wa CCJ? MBONA HIKO CHAMA HAKIPO, NA KAMA KILIKUWAPO SI WAMERUDI NYUMBANI KWAO.
11. Mtafanyaje kwenye uchaguzi ujao wakati mshajua baadhi ya vigogo wenu washaanza
kupita pita makanisani na misikitini? HIYO NI MBINU YA KISIASA "YOU CANNOT PREDICT POLITICS, THE ONE WHO TRIES TO DO SO IS JUST FOOLING HIMSELF"
12. Unakumbuka ILANI ya CCM kuhusu kuanzisha Mahakama ya KADHI iwapo mngepewa
dhamana? HIYO MAHAKAMA ILIKUWEPO WAKATI WA MKOLONI, HATA WAKATI WA NYERERE, NAO SIONI KAMA INA SHIDA IKIRUDISHWA, INA WAHUSU WAISLAMU NA NI HAKI YAO, HATA SISI TUNAWEZA KUOMBA YETU YA KIKATOLIKI, LUTHERAN, ANGLICAN NK.
13. Utatuambiaje juu ya watoto wetu kufeli na kuchakachua tena matokeo kuondoa aibu? SIO KUONDA AIBU, HIYO INAITWA "DAMAGE CONTROL" IT WAS NEEDED TO CORRECT A BIG WRONG KUDOS TO THE MINISTRY
14. Unasemaje juu ya kuacha raslimali zetu mikononi mwa wawekezaji afu tunapitisha
bakuli dunia nzima kuomba misaada? BILA YA KUWASHAWISHI WAWEKEZAJI NDUGU, HATUTAWE KUFANYA LOLOTE, HEBU ANGALIA MASHAMBA YA MKONGE WALIOPEWA MATAJIRI WAKITANZANIA, WAMECHUKULIA MIKOPO NA KUFANYIA SHUGHULI ZINGINE, NA SASA SERKALI INALAZIMISHWA KUYAREJESHA, NA SIDHANI KAMA ITAFANIKIWA, MADENI YA MABENKI NI MAKUBWA SANA. SO FOREIGN INVESTORS IS A BLESSING...
15. Unasemaje kesi ya akina Mramba kukaa miaka sita mahakamani bila kusikilizwa? INAENDELA NA ITAMALIZWA
16. Inakuwaje Mahalu kushinda kesi dhidi ya serikaliwakati iliungwa mkono na watawala
wote? INAONYESHA KUWA KWELI SEREKALI YA JK NI TRUE DEMOCRACY , JEE HUO USHINDI PIA KUNA SHIDA?
Unaonaje ukileta uzi wa kuzungumzia masuala na siyo watu;;; HILO ATAJIBU MWENYE UZI
[/QUOTE]
 
  • Thanks
Reactions: SQL
CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake

1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza

2;Dr Slaa leo anaanza kuhaha kwa waandishi wa habari kuwa Kinana anataka kumvua ubunge Lissu hii ni dhairi CHADEMA sasa inaweweseka. Lissu haina haja ya kumvua ubunge mahakamani wananchi wameshamchoka yeye asubiri 2015.

UMAARUFU WA CHADEMA UNAPOROMOKA KILA SIKU KUTOKANA NA UDHAIFU MKUBWA VIONGOZI WA CHADEMA NA UROPOKAJI WA WABUNGE WAO

Abdulrahman Kinana, ni msomi wa Harvard University, ana kili kama mchwa, ametulia hakurupuki. Ni strategist wa hatari na ndiyo maana wanahaha kila siku kupambana naye. Huyu atawasumbua sana na wasipoangalia atakisambaratisha hicho chama chao. Hivi ni Kibanda aliyeandika ile makala ya kumsifu Kinana na kuwatahadharisha CHADEMA akachukiwa na bosi wake? Ama ni nani vile?
 
Umetumiwa ngapi mpka kutuletea uzi huu. Kama CCM haiogopi ije hadharani kutwambia
1. Ni akina nani wameficha mabilioni USWISS?
2. Ni nani anaua tembo wetu na kwa nini hawakamatwi wakati wana intelligensia kibao
3. Tunapata nini kwenye raslimali za asili kama vile madini ya dhahabu, almasi, Tanzanite.
4. Kuna manufaa gani kwenye safari za Mkulu nje ya nchi tangu aingie madarakani?
5. Ni nini faida ya ujio wa viongozi wakuu wa nchi kubwa duniani hapa Tanzania
6. Kwa nini makampuni mengi ya madini karibu yote yanatoka Kanada
7. Je wametumia hekima gani kumaliza mgogorowa Mtwara?
8. Makamu MKiti Bara alituambiakuwa ndani ya miezi sita atakuwa amewawajibisha waliotoa
rushwa kwenye kura za maoni na leo kaja na single ingine kwamba wameongezewa tena
miezi sita mingine.
9. Je ile filamu ya kujivua Gamaba iliishia wapi?
10. Je mliwachukulia hatua gani waasisi wa CCJ?
11. Mtafanyaje kwenye uchaguzi ujao wakati mshajua baadhi ya vigogo wenu washaanza
kupita pita makanisani na misikitini?
12. Unakumbuka ILANI ya CCM kuhusu kuanzisha Mahakama ya KADHI iwapo mngepewa
dhamana?
13. Utatuambiaje juu ya watoto wetu kufeli na kuchakachua tena matokeo kuondoa aibu?14. Unasemaje juu ya kuacha raslimali zetu mikononi mwa wawekezaji afu tunapitisha
bakuli dunia nzima kuomba misaada?
15. Unasemaje kesi ya akina Mramba kukaa miaka sita mahakamani bila kusikilizwa?
16. Inakuwaje Mahalu kushinda kesi dhidi ya serikaliwakati iliungwa mkono na watawala
wote?
Unaonaje ukileta uzi wa kuzungumzia masuala na siyo watu

kinana is very smart jamaa lazima wamgwaye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom