idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,298
- 38,438
View attachment 96000
Kinana huyu unaemsema.!
Kinana huyu unaemsema.!
Abdulrahman Kinana, ni msomi wa Harvard University, ana kili kama mchwa, ametulia hakurupuki. Ni strategist wa hatari na ndiyo maana wanahaha kila siku kupambana naye. Huyu atawasumbua sana na wasipoangalia atakisambaratisha hicho chama chao. Hivi ni Kibanda aliyeandika ile makala ya kumsifu Kinana na kuwatahadharisha CHADEMA akachukiwa na bosi wake? Ama ni nani vile?
bora kuwa maskini wa mali na siyo maskini wa akiri,
umetumwa kuongea ujinga kama huu,shwaini!
ila wewe ndiyo.............. kweli kwa akili yako undhani chadema inakufa au inapaa jaribu kutafakari kwa kina hadi sasa kina wabunge wangapi linganisha na 1995, 2000 kisha 2005Hii dhana ya CDM kuwa maarufu mnaitoa wapi?. Hakiwezi kuwa chama maarufu kikakosa kupewa madaraka na wananchi toka 1995.
Umaarufu wa chama unapimwa kwenye sanduku la kura, kwa maana hiyo, ukiangalia kuanzia mwaka 1995 utaona hawama umaarufu wowote kwenye eneo la siasa Tanzania zaidi ya kutafuta umarufu kwa kidnapping.
kuwa msomi wa Harvad siyo issue Tanzania mpo wasomi wengi sana chini ya CCM na ndiyo mliyotufikisha hapa tulipo penye umaskini mkubwa mno ilihali rasilimali tele tunazoAbdulrahman Kinana, ni msomi wa Harvard University, ana kili kama mchwa, ametulia hakurupuki. Ni strategist wa hatari na ndiyo maana wanahaha kila siku kupambana naye. Huyu atawasumbua sana na wasipoangalia atakisambaratisha hicho chama chao. Hivi ni Kibanda aliyeandika ile makala ya kumsifu Kinana na kuwatahadharisha CHADEMA akachukiwa na bosi wake? Ama ni nani vile?
Akili ni nywele kila mtu ana zake.CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake
1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza
2;Dr Slaa leo anaanza kuhaha kwa waandishi wa habari kuwa Kinana anataka kumvua ubunge Lissu hii ni dhairi CHADEMA sasa inaweweseka. Lissu haina haja ya kumvua ubunge mahakamani wananchi wameshamchoka yeye asubiri 2015.
UMAARUFU WA CHADEMA UNAPOROMOKA KILA SIKU KUTOKANA NA UDHAIFU MKUBWA VIONGOZI WA CHADEMA NA UROPOKAJI WA WABUNGE WAO
CHADEMA inazidi kuchanganyikiwa uwepo wa katibu mkuu wa CCM hii ni dhairi sasa wanataabika uwepo wake
1; hotuba tatu za cdm bungeni zimedhihirisha tosha kuwa wanamuogopa maana walishindwa kuongea mambo ya muhimu wanaanza kutoa shutuma za uongo ila mwisho wa yote wananchi wamewapuuza
2;Dr Slaa leo anaanza kuhaha kwa waandishi wa habari kuwa Kinana anataka kumvua ubunge Lissu hii ni dhairi CHADEMA sasa inaweweseka. Lissu haina haja ya kumvua ubunge mahakamani wananchi wameshamchoka yeye asubiri 2015.
UMAARUFU WA CHADEMA UNAPOROMOKA KILA SIKU KUTOKANA NA UDHAIFU MKUBWA VIONGOZI WA CHADEMA NA UROPOKAJI WA WABUNGE WAO
Du Mheshimiwa, wazi wazi kabisa unajipendekeza kwa kinana kutokana na position yake katika chama, usomi wake wa havard ndio mmeujua leo? na isitoshe nilitegemea msomi kama wewe utupe sifa zenye kueleweka za kinana kama kiongozi katika taifa hili, huwa inanipa shida sana ninaposoma comments za wasomi wa ccm