Kinana awataka wananchi kuwapuuza wapinzani

Nani kawatapeli watanzania hawa? Ni chadema?
19218_230946180375723_499796322_n.jpg

CHADEMA ndo waliwavalisha nguo hizo chafu ili kuwalaghai kwa maslahi ya kisiasa
 
kama sio Mpanda hapo basi itakuwa Kigoma!! ni maeneo ya wanafiki na wasaliti ndio maana ccm imeendelea kuwatumia kama daraja!
 
Katibu Mkuu wa CCM, ABDULRAHMAN KINANA amewataka wananchi kuwapuuza wapinzani kwa vile si wakweli. Kwamba, Wapinzani wamekuwa wakipinga kila kitu kinachofanywa na serikali na chama tawala hata kama kitu hicho kiko wazi na wananchi wanakifahamu. Kinana ameyasema hayo huko Ifunda wakati wa Ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM. Aidha, amewataka wananchi wa jimbo la Kalenga kumchagua mbunge atakayeteuliwa kugombea kwa tiketi ya ccm ili aendeleze mazuri yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na ambaye pia alikuwa waziri wa fedha, marehemu Mgimwa.

Source, Star TV Habari za Adhuhuri

Ila hatuta puuza ukweli kwamba, Kinana ni mfanya biashara ya meno ya tembo.
 
Katibu Mkuu wa CCM, ABDULRAHMAN KINANA amewataka wananchi kuwapuuza wapinzani kwa vile si wakweli. Kwamba, Wapinzani wamekuwa wakipinga kila kitu kinachofanywa na serikali na chama tawala hata kama kitu hicho kiko wazi na wananchi wanakifahamu. Kinana ameyasema hayo huko Ifunda wakati wa Ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM. Aidha, amewataka wananchi wa jimbo la Kalenga kumchagua mbunge atakayeteuliwa kugombea kwa tiketi ya ccm ili aendeleze mazuri yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na ambaye pia alikuwa waziri wa fedha, marehemu Mgimwa.

Source, Star TV Habari za Adhuhuri

jangili hilo.weka mbali na tembo
 
Aidha, amewataka wananchi wa jimbo la Kalenga kumchagua mbunge atakayeteuliwa kugombea kwa tiketi ya ccm ili aendeleze mazuri yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na ambaye pia alikuwa waziri wa fedha, marehemu Mgimwa.

Source, Star TV Habari za Adhuhuri

Mazuri kama haya:-

MIZAMBWA
INANIUMA SANA!!!
 
Katibu Mkuu wa CCM, ABDULRAHMAN KINANA amewataka wananchi kuwapuuza wapinzani kwa vile si wakweli. Kwamba, Wapinzani wamekuwa wakipinga kila kitu kinachofanywa na serikali na chama tawala hata kama kitu hicho kiko wazi na wananchi wanakifahamu. Kinana ameyasema hayo huko Ifunda wakati wa Ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM. Aidha, amewataka wananchi wa jimbo la Kalenga kumchagua mbunge atakayeteuliwa kugombea kwa tiketi ya ccm ili aendeleze mazuri yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na ambaye pia alikuwa waziri wa fedha, marehemu Mgimwa.

Source, Star TV Habari za Adhuhuri
Mwambie aje na idadi kamili ya Tembo walio uwawa katika mbuga zetu nasi hatutampuuza la yeye ndo mpuuzi namba moja!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! Napita magamba msinishugulikie miye mtoto wa mwenzenu.
 
Heheheee, naona Lowassa amewashinda sasa....

Yaani Lowassa amewadharau na kuwapuuza si kawaida na kwa kiswahili cha zamani wangelisema "Lowassa amewashit Nape na Kinana". Wakisema, kwake Lowassa yanaingilia sikio moja na kutokea sikio jingine.....

Kweli Lowassa anajua kuwaSHIT watu si kawaida.
Sijui na yeye tumpuuze?
 
Nguo zilivyo nyingi duniani na hata Mitumba kibao na kwa bei chee, ila bado mtu hawezi kumvalisha mtoto wake?

Yaani hata Majirani hawawezi kumpa huyu kijana nguo ili asininginize MALI zake nje?

Hii inauma sana aisee. Tanzania haitakiwi kabisa mtu atembee uchi wa MNYAMA.

SHAME ON YOU KINANA na wenzako wote mnaopiga propaganda wakati mkiishi peponi na kuwaacha hawa UCHI.

313994_142583219212767_1975668543_n.jpg
 
Back
Top Bottom