Kinana awataka wananchi kuwapuuza wapinzani

Kinana awataka wananchi kuwapuuza wapinzani

Wananchi wa sasa wanapenda na kuamini Kile ambacho CCM wanaita UDAKU, maana kwa wananchi ndio ukweli. Kuthibitisha hilo, angalia mikutano ya CHADEMA kisha linganisha na hiyo ya CCM, ndipo utapata ukweli wa kipi watu wanapenda. Na kama hao wote si makini, basi ni dhahili kuwa unakili serikali ya CCM imefeli kutoa elimu bora ili watu wake waweze kujitambua.
Mkuu, kwenye hiyo mikutano si kila anayeenda ni mwana chadema. Kuna wana ccm kibao ambao wapo kistrategy zaidi
 
Mkuu, kwenye hiyo mikutano si kila anayeenda ni mwana chadema. Kuna wana ccm kibao ambao wapo kistrategy zaidi

hao ndiyo tunaowataka ili tuzikomboe fikra zao
 
Attachments

  • 1391597511103.jpg
    1391597511103.jpg
    64 KB · Views: 75
Katibu Mkuu wa CCM, ABDULRAHMAN KINANA amewataka wananchi kuwapuuza wapinzani kwa vile si wakweli. Kwamba, Wapinzani wamekuwa wakipinga kila kitu kinachofanywa na serikali na chama tawala hata kama kitu hicho kiko wazi na wananchi wanakifahamu. Kinana ameyasema hayo huko Ifunda wakati wa Ziara yake ya kukagua utekelezaji wa Ilani ya CCM. Aidha, amewataka wananchi wa jimbo la Kalenga kumchagua mbunge atakayeteuliwa kugombea kwa tiketi ya ccm ili aendeleze mazuri yaliyofanywa na aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo na ambaye pia alikuwa waziri wa fedha, marehemu Mgimwa.

Source, Star TV Habari za Adhuhuri

Na wananchi wameitikia wito wa Jangili- KINANA
lema+na+wananchi.JPG
 
ni mwe.hu pekee anayeweza kumsikiliza na kumtilia maanani dentist!!!!
 
kinana jangili mkubwa wanasema bora mchawi kuliko mnafiki ccm wote wote wanafiki hawana jipya
 
Chadema hawana tofauti na yule tapeli dude.

hawa cdm bwana,wametutapeli maisha bora kwa kila mtanzania,wametutapeli ktk oparesheni tokomeza ujangili huku tukimuona jangili mkuu kinana akidunda tu mjini na ndg zetu kuishia kuuawa kikatili! wametutapeli ununuzi wa meli mpya z.victoria!!!! wametutapeli mafisadi kuvuliwa magamba ndani ya siku 90!!!!! utakuwa na akili za kuku wewe!
 
Zilipendwa.
 
Mkuu, kwenye hiyo mikutano si kila anayeenda ni mwana chadema. Kuna wana ccm kibao ambao wapo kistrategy zaidi

wakifika wanamezeshwa madini ya ukombozi!!!! endeleeni kulipana buk 7 na kufarijiana mitandaoni huku wenzenu wakiwa field wakitoa elimu ya uraia,watz wengi hata vijijini kabisa wamesaidiwa na cdm kujitambua kupitia program mbalimbali!
mtakuja shituka kumekucha!!!
 
Nakushangaa! Mkuu kijana kama ww bado unashabikia hicho chama kilichokosa mwelekeo.sasahivi agenda yao kuu ni lowassa lkn nani anaweza kumfukuza hta mkulu amwezi wamebaki kila mtu anaropoka ruake
 
Back
Top Bottom