security guard
JF-Expert Member
- Sep 27, 2011
- 799
- 603
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana anatarajiwa kuwasili Kyela muda si mrefu kutoka sasa akitokea mkoa wa Ruvuma.
Katibu Mkuu atawasili kwa meli ya MV Songea ambayo inatumia masaa 26 na kusimama kwenye vijiji 11.
Akiongozana na Katibu wa NEC Siasa na Uhusiano wa Kimataifa Dk.Asha-Rose Migiro pamoja na Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye....
Wakiwa wamevalia fulana zenye ujumbe wa CCM "UMOJA NI USHINDI" wameweza kupita kwenye vijiji mbali mbali ambavyo viongozi na wanasiasa wengine huwa hawafiki .
Katibu Mkuu amekuwa akiwaambia wakazi mbali mbali kuwa kazi ya CCM ni kutenda na si kuongea.