Kinana asafiri masaa 26 kwa mv songea

Kinana asafiri masaa 26 kwa mv songea

Nyerere, Mwinyi na Mkapa walikuwa wanachama wa hiiCHADEMA!!!!

Chadema anaijuwa nani wakati huo.

Tanzania hakichaguliwi chama anachaguliwa mgombea. 80% ya wapiga kura walimchaguwa Kikwete unafikiri wote hao ni CCM. Kama ndivyo ulivyo, wewe kweli Zero, hujakosea.
 
Visingefikika na hao wanafikaje huko?

Nchi nzima ilikuwa haifikiki wakati wa Nyerere. Umesahau? kutoka Dar kwenda Mwanza tu ilikuwa mpaka uende nchi jirani kwanza. Leo tunaona Kikwete kabadilisha sura ya nchi nzima, ilobaki muumie roho zenu tu, miaka 24 Nyerere, miaka 10 Mwinyi na Miaka 10 Mkapa, jumla ya miaka 44 walifanya nini?

Miaka 7 tu ya Kikwete tumeona mabadiliko ya ajabu ambayo hayajawahi kuonekana toka tupate Uhuru.

Wewe ni kweli bongolala.
akili yako kama chichidodo
 
ni lichefuchefu mali tulizowapa wazungu namadini tulio nayo pamoja na mbuga za wanyama haviendani na hayo unayosema kama ni barabara ilitakiwa mpaka kila nyumba unakanyaga lami....halafu lami zenyewe za kichina pia ni mkopo...tembea na gari kwenye hizo lami usikie gari lako linavo rukaruka

Na Nyerere alikuwa wapi hakufanya hata 10% ya anayoyafanya Kikwete sasa hivi. Aliacha barabara ipi? aliacha shule ngapi? aliacha nini zaidi ya foleni za chakula na umasikini usio na mfano?

Leo neema zimeanza kuwadondokea, mnatamba na vigari ambavyo wakati wa Nyerere baba na babu zenu hawakuthubutu hata kuota kuwa navyo, halafu mnataka kusema?
 
So what???

These pathetic brains are as disastrous and devastating as typhoon Haiyan.

Asubiri kitambo tu, maana atarudisha na kulipa kila uovu aliofanya kuanzia ujangili wa tembo wetu mpaka damu wanazomtuma Nchemba kumwaga.

KWAK KWAK KWAK KWAK, kaanguke mbele na hicho kilio chako cha bata
 
Kodi za walalahoi zinazidi kutafunwa taratibu.hilo fungu wanazurulia Hawa lingetosha Kabisa kujenga Shule AMA hospitali 1
 
Visingefikika na hao wanafikaje huko?

Nchi nzima ilikuwa haifikiki wakati wa Nyerere. Umesahau? kutoka Dar kwenda Mwanza tu ilikuwa mpaka uende nchi jirani kwanza. Leo tunaona Kikwete kabadilisha sura ya nchi nzima, ilobaki muumie roho zenu tu, miaka 24 Nyerere, miaka 10 Mwinyi na Miaka 10 Mkapa, jumla ya miaka 44 walifanya nini?

Miaka 7 tu ya Kikwete tumeona mabadiliko ya ajabu ambayo hayajawahi kuonekana toka tupate Uhuru.

Wewe ni kweli bongolala.

Umenena vyema sana,

Kuna watu hata uwape dunia na vilivyomo hawataacha kukulaumu na kulalamika.

Wanataka kufunika maendeleo ya wazi wazi kwa vinywa vyao, ilhali wao ni wanufakaji wakubwa.
 
Visingefikika na hao wanafikaje huko?

Nchi nzima ilikuwa haifikiki wakati wa Nyerere. Umesahau? kutoka Dar kwenda Mwanza tu ilikuwa mpaka uende nchi jirani kwanza. Leo tunaona Kikwete kabadilisha sura ya nchi nzima, ilobaki muumie roho zenu tu, miaka 24 Nyerere, miaka 10 Mwinyi na Miaka 10 Mkapa, jumla ya miaka 44 walifanya nini?

Miaka 7 tu ya Kikwete tumeona mabadiliko ya ajabu ambayo hayajawahi kuonekana toka tupate Uhuru.

Wewe ni kweli bongolala.

Mjane mweusi,kumbe wewe si CCM wala CUF. Wewe ni mpambe wa Kikwete. Jitahidi muda ndiyo unayoyoma hivyo.
Ungetuchambulia in details kila rais, faida na hasara zake.
 
attachment.php
Mrs Migiro is out of place.. ( ... eti boss wake ni Nape/bora angejishughulisha na mambo ya maana)
 
Chadema anaijuwa nani wakati huo.

Tanzania hakichaguliwi chama anachaguliwa mgombea. 80% ya wapiga kura walimchaguwa Kikwete unafikiri wote hao ni CCM. Kama ndivyo ulivyo, wewe kweli Zero, hujakosea.
Wewe BLACK WIDOW una vituko. Sasa akina Nape wanafanya huko ............. au Tayari wanamgomea wao huko!?? Tetea baba mkwe!!
 
Jamaa wanafanya operation ya kufa m2.. Hvo vijiji hawajawahi fika chadema...
 
Back
Top Bottom