Kinana aonekana akila bata coventry,UK!

Kinana aonekana akila bata coventry,UK!

Status
Not open for further replies.
Kuna picha zinasambaa zikimuonesha kinana akifanya shopping UK!
Je hizo picha ni aunthetic?
Mkuu hyoo ni offside trick ili aonekane mangekimambi muongo lkn kashawastukia na kashazifuta hizo post so huenda hazna ukweli yule ni dada makin na msomii cyo wa huku wana phd za ki........
 
Dah! Hili nalo ni neno. Ila tangu yule mama awe First Lady nimetokea kumpenda na kumuonea huruma sana.

Magufuli anaupendo wa pekee yaani mama janeth magufuli anatibiwa muhimbili ila kinana anampeleka india....
 
Mkuu kasema kamtuma India kutibiwa SASA km kaonekana Uk bas atakua katumwa referal ya ugonjwa mkubwa.... EEEE MUNGU TUNAKUOMBA JPM AMTUME KINANA KUPONA ILI ARUDI NYUMBAN SALAMA.
 
hivi mtu unatumwaje ukatibiwe? ni ugonjwa gani huo ulikuwa unamkera mkuu hadi akamuamrisha akatibiwe? kuna maajabu jamani
Kama tunaamini kwamba anakosea kwenye kuongea kiingereza, tuamini vile vile kwamba na hapa lugha ilimchenga. Maana haikuwa kama unavyoitafsri wewe
 
She has stood as the voice representing free speech... I don't condone what she is and what she writes and I don't follow her...but you can't hate people by saying things you don't like...particularly when between the lines they are telling the truth
"Akili za kuambiwa changanya na zako" JK
 
hivi mtu unatumwaje ukatibiwe? ni ugonjwa gani huo ulikuwa unamkera mkuu hadi akamuamrisha akatibiwe? kuna maajabu jamani
Itakuwa mkuu anaumwa kinana anamukilisha kwenye matibabu kwasababu mkuu uko ngambo lugha ya malikia aipandi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom