Nyoka_mzee
JF-Expert Member
- Nov 26, 2016
- 3,695
- 5,548
Ugonjwa wakutaka kuzungumza na wana habari ndomana mkuu akamtuma akatibiwe akija hapa akae mbali na wana habariii[emoji2] [emoji2] [emoji2]hivi mtu unatumwaje ukatibiwe? ni ugonjwa gani huo ulikuwa unamkera mkuu hadi akamuamrisha akatibiwe? kuna maajabu jamani