MO11
JF-Expert Member
- Mar 23, 2014
- 19,650
- 41,778
Najua hilo kitambo kabisa kuwa sio mjenzi, ni mbomoaji tu, yeye kila sehemu anaharibu tu.
Mbona unamtangazia humu ulifikiri ukimpa atakuhonga ubunge maalumu
ndio maana kakubomoa
Najua hilo kitambo kabisa kuwa sio mjenzi, ni mbomoaji tu, yeye kila sehemu anaharibu tu.
Hagombei.Kwahiyo urais hagombei?
umeondolewa kwenye msafara nini! mbona huripoti tena viongozi wa cdm wanarudi ccm. au Hamna wanaojitokeza kuvuna hiyo miamala?Ndio wale wale..,sasa wewe kama unayajua aliyoyafanya mbowe si uyaseme sasa..?
Kazi ipo mwaka huu..,Mwenyekiti wa Chadema anashindwa kufanya kazi zake mpaka Katibu Mkuu wa CCM akafanye kwa niaba yake..kweli CCM ndio baba wa wote.
Najua hilo kitambo kabisa kuwa sio mjenzi, ni mbomoaji tu, yeye kila sehemu anaharibu tu.
Kwani chadema ni nani hata wasitajwe..? Ndio maana Nape anawaambia mmeingia kucheza ngoma msiyoijua.,mmeingia kwenye siasa na hamtaki kutajwa.,nyie ni gani aisee..?
Duh kweli bavicha hamnazo...ina maana hata majukumu ya mbunge hauyajui..?? Dah.
MILIONI 25 za mfuko wa jimbo kila miezi mitatu ni za nini..? Kulia bata Bilicanaz au..?
Haya ndio matatizo ya kutojielewa...
"...Akili za kuambiwa changanya na zako.." By Jakaya Kikwete.
Ila wasiwasi wangu, ni je unazo hixo za kwako za kuchanganyia..???
Kamanda kumbe na wewe unavutiwa na picha za ziara ya Kinana eti..?
mkuu akili ndogo ya juliana kwao ni ccm au ACTNahisi bado unaipenda CHADEMA,ukiomba msamaha unaweza kukaribishwa tena kwa sharti moja tu,uache kuwa kigeugeu na usaliti
Sasa na akili hiyo unategemea utaelewa..?
sikukufunza hayo. Lo kumbe mnayofundishwa siyo mnayotumia !!?Nani katukwana..? Nimemtukana nani..? Nimefunzwa siasa safi na za kistaharabu.