Kinana amsafishia njia Mbowe 2015

Kinana amsafishia njia Mbowe 2015

Hivi mbona mwanadiwani amesepa kutumwagia mapicha ya ziara tangu ilipoanza siha mkoani K'njaro!!!
Maana za mkoani dodoma alikuwa anajaza kurasa mpaka inaboa
 
Huyo shonza anatafuta umaarufu kwa nguvu tangia umerudi kwa mafisadi una cheo gani vile?
 
Kazi ipo mwaka huu..,Mwenyekiti wa Chadema anashindwa kufanya kazi zake mpaka Katibu Mkuu wa CCM akafanye kwa niaba yake..kweli CCM ndio baba wa wote.

Wewe unadhani hii ndio kazi ya Mbunge au mwenyekiti wa chama?
ImageUploadedByJamiiForums1427193335.610776.jpg
Haya mambo ya usanii mwambieni Kinana awaachie wenye fani yao wafanye
ImageUploadedByJamiiForums1427193391.341014.jpg
 
Kazi ipo mwaka huu..,Mwenyekiti wa Chadema anashindwa kufanya kazi zake mpaka Katibu Mkuu wa CCM akafanye kwa niaba yake..kweli CCM ndio baba wa wote.

Ccm ndio baba ila wewe ndio shangingi wa ccm kwa upande mwingine chombo cha *--- cha Ccm
 
Kwani chadema ni nani hata wasitajwe..? Ndio maana Nape anawaambia mmeingia kucheza ngoma msiyoijua.,mmeingia kwenye siasa na hamtaki kutajwa.,nyie ni gani aisee..?
Mbona hamuweki picha za 'nyomi'ya mikutano yenu ya Kilimanjaro? Mnaficha aibu lakini Jana ITV wamewaumbua na kamkutano chenu cha ukoo kwenye jimbo la Siha. Na bado mkifika Moshi Mjini,vijijini na Rombo mtahutubia migonba.Hii ndiyo Kilimanjaro bana, si mlisema CHADEMA ni chama cha wachaga mmefuata nini huku nyie magamba?
 
Acha ujinga wewe. Mbunge hastahili kufanya hiyo kazi. Wananchi wanalipa kodi hivyo hiyo ni kazi ya serikali ambayo inakusanya kodi kutoka kwa wananchi hao. Mbunge hakusanyi kodi kutoka kwa wananchi, unataka pesa mfukoni mwake ilihali nyie na shoga zako mnafisadi pesa za kodi za hao wananchi. Pumbavu kabisa.

Nilifikiri una akili kumbe ni kopo kabisa. Mbunge anafanya hayo kwa bajeti kutoka wapi? Kutoka mfukoni mwake wakati chama chako kinachukua kodi ya hao wananchi na kugawana.

Dada yangu tumia akili japo kidogo acha ushabiki usio kuwa na maana.


Huyu dada hana akili nahisi amelogwa huyu...na mchawi wake ameshakufa ataropoka sana mwaka huu..
 
Kazi ipo mwaka huu..,Mwenyekiti wa Chadema anashindwa kufanya kazi zake mpaka Katibu Mkuu wa CCM akafanye kwa niaba yake..kweli CCM ndio baba wa wote.

Mdogo wangu yawezekana kwenye siasa umekurupuka sana pole.

Wajenzi wa miundo mbinu,barabara,mashule,hospitali/zahanati na wanaofanya maendeleo ya nchi ni serikali sababu ndiyo wakusanyaji wa kodi zetu na wanaweka bajeti kuainisha kipaumbele kwenye maeneo yenye hatari kama inavyoonyeshwa kwenye daraja la kamba.Kinana si serikali ni kiongozi wa chama ila kwa niaba ya kiongozi wa serikali ameweza kwenda kufungua miradi hiyo.

Pili sababu CCM ipo madarakani anaweza kwenda kuona miradi hiyo na kupeleka feedback serikalini kama kunashida mahali.

Hivyo Mbowe hakusanyi kodi mama.Kama hujui siasa subiri watu wakufunze.Usitukane Mamba wakati haujavuka mto!Wewe ulitukana Mamba ukiwa ndiyo kwanza unataka kuvuka mto!Na hauwezi kuvuka ....Pole sana.

Ungekuwa na BUSARA japo ya chembe ya haradari kunamambo mengine usinge-thubutu kuyasema au kuyaongea
 
Kumbe hata haujui halmashauri ya Machame iko chini ya chama gani..Dah ni aibu sana aisee.

Samahani kwa swali hili..labda mniambie mnajua nini katika dunia hii..?
Hivi ni kweli hujui Halmashauri ya wilaya ya Hai inaongozwa na chama gani? Shonza wewe ni graduate bana katibu kufanya utafiti bana usijiaibishe,Halafu hakuna halmashauri ya machame,machame ni kata tu shonza.
 
Haya maneno umetumwa au akili yako mwenye ndio imekutuma hivi..? Ni binadamu wa ajabu aliyewahi kuishi "motoni" kisha kwa rehema ya Mwenyezimungu akapata uokovu na kuingia "peponi" kisha baada ya kula matunda mazuri ya peponi, aseme natamani kurudi "motoni"..

Hata angekuwa chizi aliyetoroka Milembe, asingelifanya hivyo.
Duh! sasa hapo huna tofauti na washirikina wanao waua Albino! mimi nilidhani kwa kiwango chako cha elimu yaani digrii ya uzamili ungekuwa unachambua mijadala kisomi, kumbe ni bure kabisa!
 
Kwani Mbowe anagombea tena ubunge?
Mbowe ni mbunge mteule,anasubiri kuapishwa,CCM imeshawaambia wachagga chama chao ni CHADEMA na mmewatukana sana,mnawabagua,mnawatenga na kuwafanyia kila aina ya fitina lakini kwa kuwa ni wapambanaji maisha yanakwenda tena vizuri kuliko huko kwa wagogo mnaowakumbatia.
 
Duh kweli bavicha hamnazo...ina maana hata majukumu ya mbunge hauyajui..?? Dah.

MILIONI 25 za mfuko wa jimbo kila miezi mitatu ni za nini..? Kulia bata Bilicanaz au..?
I'd like to know your political achievement so far, you must be one of those extraordinary intelligent politicians to ever grace Tanzania's politics.You seem to be full of yourself,that's not the way politics ought to be.Politics is about intellectual debates, not to brag about your intellectual abilities. If you and many other young politicians of your type are the face of today's politics then this country is doomed, maybe we may still need old generation of politicians to lead this country for one more decade. Imagine that you are handing a presidency over to the hotheaded moron like Paul Makonda,God forbid!
 
Mbowe ni mbunge mteule,anasubiri kuapishwa,CCM imeshawaambia wachagga chama chao ni CHADEMA na mmewatukana sana,mnawabagua,mnawatenga na kuwafanyia kila aina ya fitina lakini kwa kuwa ni wapambanaji maisha yanakwenda tena vizuri kuliko huko kwa wagogo mnaowakumbatia.

Kwahiyo urais hagombei?
 
Hivi mbona mwanadiwani amesepa kutumwagia mapicha ya ziara tangu ilipoanza siha mkoani K'njaro!!!
Maana za mkoani dodoma alikuwa anajaza kurasa mpaka inaboa
Kamanda kumbe na wewe unavutiwa na picha za ziara ya Kinana eti..?
 
Kwahiyo urais hagombei?
Swali la mtego..na akilijibu swali hili kwa kukurupuka uanachama wake uko mashakani..maana jamaa hacheleweshi, ukitaja habari za urais hata kwa mzaha unaweza kuhamia ACT usiku.
 
Kazi ipo mwaka huu..,Mwenyekiti wa Chadema anashindwa kufanya kazi zake mpaka Katibu Mkuu wa CCM akafanye kwa niaba yake..kweli CCM ndio baba wa wote.

Bibi umekuwa msemaji wa msemaji wa chama cha mafisi hahahahaaa!!!
 
Back
Top Bottom