Kinana amsafishia njia Mbowe 2015

Kinana amsafishia njia Mbowe 2015

Acha ujinga wewe. Mbunge hastahili kufanya hiyo kazi. Wananchi wanalipa kodi hivyo hiyo ni kazi ya serikali ambayo inakusanya kodi kutoka kwa wananchi hao. Mbunge hakusanyi kodi kutoka kwa wananchi, unataka pesa mfukoni mwake ilihali nyie na shoga zako mnafisadi pesa za kodi za hao wananchi. Pumbavu kabisa.

Nilifikiri una akili kumbe ni kopo kabisa. Mbunge anafanya hayo kwa bajeti kutoka wapi? Kutoka mfukoni mwake wakati chama chako kinachukua kodi ya hao wananchi na kugawana.

Dada yangu tumia akili japo kidogo acha ushabiki usio kuwa na maana.
Duh kweli bavicha hamnazo...ina maana hata majukumu ya mbunge hauyajui..?? Dah.

MILIONI 25 za mfuko wa jimbo kila miezi mitatu ni za nini..? Kulia bata Bilicanaz au..?
 
Kazi ipo mwaka huu..,Mwenyekiti wa Chadema anashindwa kufanya kazi zake mpaka Katibu Mkuu wa CCM akafanye kwa niaba yake..kweli CCM ndio baba wa wote.

hivi wewe mama bado upo! duu! pole sana nafikiri kwa muda huu umeshaanza kutafakari na kuona mambo halisi ndani ya ccm na taratibuuu unaanza kujuta! na bado huo ni mwanzo tu.
 
Nahisi bado unaipenda CHADEMA,ukiomba msamaha unaweza kukaribishwa tena kwa sharti moja tu,uache kuwa kigeugeu na usaliti

Haya maneno umetumwa au akili yako mwenye ndio imekutuma hivi..? Ni binadamu wa ajabu aliyewahi kuishi "motoni" kisha kwa rehema ya Mwenyezimungu akapata uokovu na kuingia "peponi" kisha baada ya kula matunda mazuri ya peponi, aseme natamani kurudi "motoni"..

Hata angekuwa chizi aliyetoroka Milembe, asingelifanya hivyo.
 
hivi wewe mama bado upo! duu! pole sana nafikiri kwa muda huu umeshaanza kutafakari na kuona mambo halisi ndani ya ccm na taratibuuu unaanza kujuta! na bado huo ni mwanzo tu.

Haya ndio matatizo ya kutojielewa...

"...Akili za kuambiwa changanya na zako.." By Jakaya Kikwete.

Ila wasiwasi wangu, ni je unazo hixo za kwako za kuchanganyia..???
 
Juliana Shonza ktk mapichapicha ya kinana hebu jisogeze kdg tukuone kuna ubishi huku eti wengine wanasema mumeo ana mbegu za desi maana tunashangaa bado tu kutwa unazurura wakati una mume.au ndio wakina mwiguru walishakisogeza kiza.zi hazinasi
 
Juliana utahangaika sana,kazi ya kuandika ujinga ndio inakuweka hapa mjini. Wewe uliuuza utu wako kwa sababu ya kuganga njaa na kwasasa kazi yako ni kuburudisha wale wanaohitaji huduma hapo Lumumba. Shame on U stupid lady.Huna hata locus ya kuchangia masuala ya msingi katika nchi hii.
 
MILIONI 25 za mfuko wa jimbo kila miezi mitatu ni za nini..? Kulia bata Bilicanaz au..?
Umeiokota wapi hii,weka uthibitisho wa formula ya ukokotoaji wa fedha za mfuko wa jimbo?

Lishaneni matango pori hukoo LB7
 
Kazi ipo mwaka huu..,Mwenyekiti wa Chadema anashindwa kufanya kazi zake mpaka Katibu Mkuu wa CCM akafanye kwa niaba yake..kweli CCM ndio baba wa wote.

Wapinzani wanafanya kazi za kuleta maendeleo, CCM wanazindua kwa kukata tepe kwa mikasi kwenye miradi iliyoibuliwa na kuendelezwa na wapinzani.
 
Haya ndio matatizo ya kutojielewa...

"...Akili za kuambiwa changanya na zako.." By Jakaya Kikwete.

Ila wasiwasi wangu, ni je unazo hixo za kwako za kuchanganyia..???

Shoza kuna bandiko langu niliwahi kukwambia utakuja juta! bado nasisitiza ulifanya kosa sana kutukana mitusi wakubwa na kuwavunjia heshima, hata huyo uliyemnukuu usemi wake hawezi kukusamini wewe kwa uchafu uliouandika kwenye mitandao ya kijamii kisa usaliti ndani ya chama chako cha chadema! kwa upande wa uwezo wa kiakili nawaachia wanaJF kuamua wewe ni wa daraja lipi! ila tu mimi matusi huwa sipendelei na wala huwa situkani unaweza pitia post zangu zote na utagundua unaongea na mtu wa kariba gani! pole mama!
 
Kazi ipo mwaka huu..,Mwenyekiti wa Chadema anashindwa kufanya kazi zake mpaka Katibu Mkuu wa CCM akafanye kwa niaba yake..kweli CCM ndio baba wa wote.
Hizo kazi zinatekelezwa na Halmashauri ya wilaya ya Hao inayoongozwa na CHADEMA. Hapo Kinana amedandia tu kazi ambazo CCM wameshindwa kwa miaka hamsini.
 
Kazi ipo mwaka huu..,Mwenyekiti wa Chadema anashindwa kufanya kazi zake mpaka Katibu Mkuu wa CCM akafanye kwa niaba yake..kweli CCM ndio baba wa wote.

Lawama alaumiwe nani? 50 yrs ago ccm ilipaswa kufanya haya mambo na siyo kuja leo na kukejeli watu kama baba mlevi anayewatambishia wanae msiponipa shakamoo hakuna mboga
 
Hizo kazi zinatekelezwa na Halmashauri ya wilaya ya Hao inayoongozwa na CHADEMA. Hapo Kinana amedandia tu kazi ambazo CCM wameshindwa kwa miaka hamsini.

Kumbe hata haujui halmashauri ya Machame iko chini ya chama gani..Dah ni aibu sana aisee.

Samahani kwa swali hili..labda mniambie mnajua nini katika dunia hii..?
 
Lawama alaumiwe nani? 50 yrs ago ccm ilipaswa kufanya haya mambo na siyo kuja leo na kukejeli watu kama baba mlevi anayewatambishia wanae msiponipa shakamoo hakuna mboga

Sasa Mwenyekiti wenu alipogombea Ubunge akadanganya kuwa atamaliza kero zote alikuwa anafanya maigixo au..?
 
Haya maneno umetumwa au akili yako mwenye ndio imekutuma hivi..? Ni binadamu wa ajabu aliyewahi kuishi "motoni" kisha kwa rehema ya Mwenyezimungu akapata uokovu na kuingia "peponi" kisha baada ya kula matunda mazuri ya peponi, aseme natamani kurudi "motoni"..

Hata angekuwa chizi aliyetoroka Milembe, asingelifanya hivyo.

Ile mimba ushatoa?
 
Back
Top Bottom