Kinana ameua kabisa upinzani

Kinana ameua kabisa upinzani

Auwe upinzani kivipi wakati ccm wanawalawiti mashekh wanawapiga risasi mashekh wapo jela mapadri wanapigwa risasi samwel sita ccm amewakashifu maaskofu kinana atauaje upinzani wakati watu wanaumia moyoni au unatumika kaka

ni kutumika2 mkuu.
 
Watanzania hawahitaji watu wanafiki kama kinana, watanzania hatuhitaji watu kama hawa wanaojifanya eti wanawasaidia kulima na kujenga, tunahitaji huduma nzuri kwa wajawazito,watoto, wazee,na watanzania kwa ujumla

watanzania tunataka elimu bora kwa wote sio unafiki wa kinana kuendesha baiskeli kuwalaghai watanzania bali tunataka wezi na mafisadi wafilisiwe,wanyongwe

Kinana ni mnafiki kwa sababu anajifanya eti aonekane anawajali watanzania kumbe ni wale wale wanaofaidika na wizi,ufisadi. tunataka sement ishushwe bei, mabati,nondo na misumali ishuke bei kila mtanzania aweze kujenga nyumba ya kisasa. ETI KINANA ANAWALAGHAI WATANZANIA KWA KUWASAIDIA KUJENGA NYUMBA ZA MATOPE badala ya kushauri mafisadi washushe bei ya cement ili hawa anaowalaghai wajenge nyumba za kisasa

ha haaaaa...hivi maigizo anayoyafanya Kinana unazani atawashika nani zaidi...Watz hawadanganywi kwa kujifanyisha wakati hakuna kitu....ACTION,,haya kinana anaanza kushika Jembe huku kamera zinapiga te teee teeeeeee...usanii huuu sasa hivi huwezi kuwashika watz kwa ujinga anaofanya kinana.
 
Huyu kanali mstaafu wa jeshi hapana chezea kabisa. Pamoja na cheo kikubwa sana alichonacho lakini hajali hali.. Anashiriki kazi za mikono na jamii anayoikuta. Si kulima, kujenga, kuendesha baskeli, bodaboda, kula kwa mama ntilie na hata kuvaa kiatu cha tairi maarufu sendeu kule kwetu.

tabia hii ya kinana ni janga kuu kwa upinzani uliobaki na sera ya maandamano haram ya kuvizia, ya kuhamasisha vurugu,matusi na lugha za kuudhi...

Nawashauri wapinzani waige nyendo za huyu jamaa.
Kumbuka kuna kitu kinaitwa"SPECIALIZATION", lazima ujue kuwa kuna fani ya madaktari, kuna fani ya uuguzi,kuna fani ya uhandisi, n.k, hivyo kinana anachofanya ni usanii tu! kinachotakiwa kwa kiongozi ni kuweka mifumo inayomwezesha mwenye ujuzi/fani fulani aweze kufanya kazi zake kwa urahisi na kwa ufanisi mkubwa ili kama kuna ushindani wa kibiashara aweze kukabiliana nayo, kama kuweka urahisi wa kupata mikopo kwa wajasiriamali, kuwaongezea ujuzi ili waongeze utaalam zaidi, ebu muulize kinana fani yake ni nini? anachokifanya ni usanii tu!
 
Subiri mwaka kesho ndiyo utajua kaua upinzani au laa.
 
watanzania hawahitaji watu wanafiki kama kinana, watanzania hatuhitaji watu kama hawa wanaojifanya eti wanawasaidia kulima na kujenga, tunahitaji huduma nzuri kwa wajawazito,watoto, wazee,na watanzania kwa ujumla

watanzania tunataka elimu bora kwa wote sio unafiki wa kinana kuendesha baiskeli kuwalaghai watanzania bali tunataka wezi na mafisadi wafilisiwe,wanyongwe

kinana ni mnafiki kwa sababu anajifanya eti aonekane anawajali watanzania kumbe ni wale wale wanaofaidika na wizi,ufisadi. Tunataka sement ishushwe bei, mabati,nondo na misumali ishuke bei kila mtanzania aweze kujenga nyumba ya kisasa. Eti kinana anawalaghai watanzania kwa kuwasaidia kujenga nyumba za matope badala ya kushauri mafisadi washushe bei ya cement ili hawa anaowalaghai wajenge nyumba za kisasa

ndugu unatumia bia gani aiseeeeeeeeeee????? Safi sana
 
kinana yupi huyu tembo wakimwona wanakimbia ameuwa upinzani wapi ccm acheni unafiki na umbea ukiona mtu anamsifia mtu mchafu basi ujue yeye ni mchafu zaidi
 
Huyo haramia atauweza upinzani kweli? SAA ngapi aachane kuua tembo wetu.
 
Ila to be honest Kinana amegeuza upepo sana kwa watu wenye akili ndogo ya kuelewa mambo...hasa vijijini....Lakini in practice and reality kwa sisi wenye akili zetu, he is just as useless as his predecessors...Hakuna tatizo analo-solve zaidi ya usanii na kuwachota watu akili.

"Mara, sitaki watu wabomolewe....." Then what? Nani anaebomoa?
" Mahakama zina rushwa....Ardhi inauzwa...." Sasa unajiuliza, who is doing that? Who is supposed to stop this?
 
binafsi siipendi kabisa CCM ila kiukweli KINANA ameihusha ccm. yan wanachama walichakata tamaa lakini hiv ss kinana anajaza umati wa watu kabla ht kampeni hazijaanza. kwa wapenz wa itv wataniunga mkono jinsi alivofunika.
upande wa mtani anakimbizana na matamko hajui chama ni kwenda grassroot.
 
binafsi siipendi kabisa CCM ila kiukweli KINANA ameihusha ccm. yan wanachama walichakata tamaa lakini hiv ss kinana anajaza umati wa watu kabla ht kampeni hazijaanza. kwa wapenz wa itv wataniunga mkono jinsi alivofunika.
upande wa mtani anakimbizana na matamko hajui chama ni kwenda grassroot.

Nakuunga mkono swaiba kinana ni Sheeeeeda kwa upunzani amewapoteza
 
Mkuu...wewe huipendi CCM?

Na huyo mtani wako ni nani? Duh....Ukiwa CCM lazima uwe na akili ya maiti
 
zzk mambo hy ya strategy ndo alikua anaweza ss wamebaki watu wasio na vision wala mission

Kaka tatizo chadema walijiona wamemaliza lakini kaka huku mtaani wameporomoka sana we angalia mdee aliandamanabna akina mama kumi na Tisa eti maandamanobya kitaifa
 
Jembe kwa kujenga vile vitofali vya tope? Sasa wafundi nyumba wanaojenga maghorofa watakuwa matrekta.
 
binafsi siipendi kabisa CCM ila kiukweli KINANA ameihusha ccm. yan wanachama walichakata tamaa lakini hiv ss kinana anajaza umati wa watu kabla ht kampeni hazijaanza. kwa wapenz wa itv wataniunga mkono jinsi alivofunika.
upande wa mtani anakimbizana na matamko hajui chama ni kwenda grassroot.

unamuona ni jembe kwa sababu polisi hawaziwii maandamano na mikutano yake kama wanavyofanya kwa chadema.ebu siku moja polisi waruhusu maandamano ya chadema hapo ndipo utakapoona kwamba kinana ni ni cha mtoto
 
Back
Top Bottom