Kinana ameua kabisa upinzani

Kinana ameua kabisa upinzani

mwaka huu watoka mapovu wako wengi kinoma, yaani huyu ndiye wa kua upinzani!!
 
Wewe unaingelea maigizo ya bongo movie
Wabaguzi ccm mpeni basi uraisi mnamtumia tu mwishowe atajichokea kama salim ahmed.
Sema kinana mjanja ni mjasirimali anajua anachofanya

Asante babangu kwa ukweli, Kinana ametumika sana na ccm naye kaitumikia kiaminufu na kizalendo . Anastahili huo Uraisi, lakini Sidhani kama yeye yuko tayari kwa hayo, tukumbuke Arusha walipomletea chochezi za kila aina basi yeye aliamua tuu kuwaachia ubunge na akaendelea na biashara zake.

Na sidhani mtu yoyote mwenye kujiheshimu atajiingiza katika kinyanganyiro hicho ambacho kimeshachafuka vibaya sana, lakini angekuwa candidate mzuri sana. Manyangau mengi yanagombania Uraisi
 
Watanzania wenye upeo hawaangalii kiongozi anayekaa tu na watu kwa lengo la kutafuta public sympathy; bali yule anayetatua matatizo ya kiuchumi kwa kuweka sera bora zenye maendeleo kwa taifa zima. Hayo mengine ni nyongeza tu, lakini sio sifa kuu ya kiongozi bora...

Hayo ni maoni yangu na yanaruhusiwa kuwa challenged...
 
Huyu kanali mstaafu wa jeshi hapana chezea kabisa. Pamoja na cheo kikubwa sana alichonacho lakini hajali hali.. Anashiriki kazi za mikono na jamii anayoikuta. Si kulima, kujenga, kuendesha baskeli, bodaboda, kula kwa mama ntilie na hata kuvaa kiatu cha tairi maarufu sendeu kule kwetu.

tabia hii ya kinana ni janga kuu kwa upinzani uliobaki na sera ya maandamano haram ya kuvizia, ya kuhamasisha vurugu,matusi na lugha za kuudhi...

Nawashauri wapinzani waige nyendo za huyu jamaa.

Dangany'a toto kula kande mbichi!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Huyu kanali mstaafu wa jeshi hapana chezea kabisa. Pamoja na cheo kikubwa sana alichonacho lakini hajali hali.. Anashiriki kazi za mikono na jamii anayoikuta. Si kulima, kujenga, kuendesha baskeli, bodaboda, kula kwa mama ntilie na hata kuvaa kiatu cha tairi maarufu sendeu kule kwetu.

tabia hii ya kinana ni janga kuu kwa upinzani uliobaki na sera ya maandamano haram ya kuvizia, ya kuhamasisha vurugu,matusi na lugha za kuudhi...

Nawashauri wapinzani waige nyendo za huyu jamaa.
 
Ni upinzani upi unaouongolea wewe? huu hapa?

tembo.jpg
 
Kweli kabisa yuko wapi Dr Slaa?
 
Siasa za ujamaa za Nyerere enzi za vijiji vya ujamaa ndo anajaribu kuzifanyia postmortem
 
Asante babangu kwa ukweli, Kinana ametumika sana na ccm naye kaitumikia kiaminufu na kizalendo . Anastahili huo Uraisi, lakini Sidhani kama yeye yuko tayari kwa hayo, tukumbuke Arusha walipomletea chochezi za kila aina basi yeye aliamua tuu kuwaachia ubunge na akaendelea na biashara zake.

Na sidhani mtu yoyote mwenye kujiheshimu atajiingiza katika kinyanganyiro hicho ambacho kimeshachafuka vibaya sana, lakini angekuwa candidate mzuri sana. Manyangau mengi yanagombania Uraisi

Wajanja wapo wengi tu hata Dr Slaa , Lisu nao ni maoportunist, ndio maana wamewapachika jamaa zao katika nyazifa mbalimbali,
 
Auwe upinzani kivipi wakati ccm wanawalawiti mashekh wanawapiga risasi mashekh wapo jela mapadri wanapigwa risasi samwel sita ccm amewakashifu maaskofu kinana atauaje upinzani wakati watu wanaumia moyoni au unatumika kaka
 
ningalikuwa mleta mada, ningalimsifu Kinana kama angeweza kufuta hata robo ya Umaskini, Ujinga na Maradhi na siyo "eti" kaua upinzani.
 
wew muislamu feki hujui unachokiongea....ungelijua wala usinge ongea usenge
Nakujua vizuri mshirikina wewe ila sikujibu. Moyo wako umejaa husuda na chuki ya udini..ng'ombe
 
Huyu kanali mstaafu wa jeshi hapana chezea kabisa. Pamoja na cheo kikubwa sana alichonacho lakini hajali hali.. Anashiriki kazi za mikono na jamii anayoikuta. Si kulima, kujenga, kuendesha baskeli, bodaboda, kula kwa mama ntilie na hata kuvaa kiatu cha tairi maarufu sendeu kule kwetu.

tabia hii ya kinana ni janga kuu kwa upinzani uliobaki na sera ya maandamano haram ya kuvizia, ya kuhamasisha vurugu,matusi na lugha za kuudhi...

Nawashauri wapinzani waige nyendo za huyu jamaa.

Hahahahahahahah!eti kaua upinzani!kwakujipendekeza kijinga kwa wananchi?hayo ndiyo maendeleo?hayo ndiyo maisha bora kwa kila mtanzania?au ndivyomnavyodanganyana kwenye vikao vyenu?upinzani utadumu hadi hapo uhuru urakapopatikana.freedom is coming tomorrow.
 
Back
Top Bottom