Kinana amburuza Msigwa kortini

Mbona una kichwa kigumu wewe?

Sijasema Kinana anatishia kumpeleka Msigwa mahakamani, nimesema Msigwa kafunguliwa mashtaka rasmi na bwana Kinana mahakamani, sio kutishia.
Kwani Manji hajawahi kumfungulia Mengi kesi wewe gamba?
 
Kinana si uingie kwa Jina lako? Mbona unahangaika sana?
 
Hivi ile meli ya bwana Kinana ilitaifishwa? Kwa sababu ninavofahamu ni kwamba chombo chochote cha usafiri kinachokamatwa na nyara za serikali hutaifishwa. Vipi kwa meli ya bwana Kinana?
 
Wabeba SEMBE wakikamatwa hufikishwa mahakamani ila Wabeba NYARA za Serikali huwafikisha waliowataja mahakamani!!
 
Kesi aliyofungua RIZ kuhusiana na kauli mbali mbali mbona watuhumiwa hawajaitwa mahakmani? Tunajua lengo lako wewe HAMY-D kwani kazi yako ni kukusanya book 7 tu. shame on you !!!!
 
CCM wana akli kwani ???
Kama walikurupuka na CD ya Ugaidi Mahakamani ambayo kwa Sasa imechuta watashindwa kumshawishi Kinana kwenda Kufungua kesi na Kuaibika Mahakamani ????

machadema yana akili kwani? Yamekamatwa na video ya kupanga kulisha watu, yamekamatwa kwa kosa la kumwagia mtu tindikali lakini yanang'ang'ania kujisafisha
 
Hakuna neno cheki katika Kiswahili, labda kama ulitaka uandike neno la kingereza nalo sio cheki ni check.

Baada ya masahihisho yako umepata ushahidi wowote kutetea hoja yako kwamba msigwa amropokaji? Marangapi na katika mahakama zipi ametibitishwa kuwa mropokaji?

Umbeya au umbea vyovyote vile ujumbe umekufikia

By Uncle Deo

Cheki ulivyo mshamba bavicha hata akili hamnazo...siyo UMBEYA ni UMBEA hili vipi.


 
Kesi aliyofungua RIZ kuhusiana na kauli mbali mbali mbona watuhumiwa hawajaitwa mahakmani? Tunajua lengo lako wewe HAMY-D kwani kazi yako ni kukusanya book 7 tu. shame on you !!!!

vp ishu ya henry kummwagia tindikali musa tesha kule igunga
 
Kinana ni JANGILI tena anayepaswa KUNYONGWA MPAKA KUFA.
Tembo anauwa anavyotaka halafu leo serikali inamchekea . . .
 
machadema yana akili kwani? Yamekamatwa na video ya kupanga kulisha watu, yamekamatwa kwa kosa la kumwagia mtu tindikali lakini yanang'ang'ania kujisafisha

Inakupasa kujitathimi uwezo wako kwanza kufikiri na kuchanganua mambo.

Kunamahakama yoyote imethibisha au kutuoa hukumu kwa uliyoyaeleza?

Kama hapana tambua wewe haukosalama kichwan-mzushi kama mwigulu.
 
Hakuna neno cheki katika Kiswahili, labda kama ulitaka uandike neno la kingereza nalo sio cheki ni check.



By Uncle Deo


Cheki ulivyo mshamba bavicha hata akili hamnazo...siyo UMBEYA ni UMBEA hili vipi.



Mkuu magoigoi vichwani hawana hoja siku zote.

Ameshindwa kutofautisha kiswahili na English - nadhan atajirekebesha na asante kumpatia somo kwa upole
 

Kumbe Hamy-D ndio Mwigulu!!!!! Duh?
Hii kali kabisa .
 
Hamy-D
Ukirejea anza kujibu dukuduku zetu na hasa maswali ya huyu mdau nimuhim sana.

Mkiliman 10:30 Today
Naomba utusaidie haya maswali:

1. Je, hiyo tarehe 14 ni ya mwezi na mwaka gani?

2. Je, ni mahakama ipi alionekana hapa Tanzania?

3. Ikiwa maswali namba 1 na 2 hapo juu yamejibiwa, je unaweza kutusaidia ni kesi namba ngapi amepewa?

4. Ikiwa swali la 3 hapo juu litajibiwa, je kesi ipo mbele ya Hakimu au Jaji nani? Hii itasaidia kuondoa mashaka ya taarifa yako.

Mwisho, ili kesi isemwe kuwa ipo mahakamani ni lazima mambo niliyouliza 1-4 hapo juu yatimie, vinginevyo ni porojo za kijiweni.

Pia, sio kweli kuwa kila anayekwenda au kuonekana maeneo ya mahakamani ana kesi ya kujibu au anafungua kesi, vinginevyo, uelewa wa mleta mada, Mr/Mrs HAMMY-D, ni sifuri au kutokujua masuala ya kortini ni sifuri au anataka kupotosha watu ili tuwe sifuri kama yeye.

Period.
 
vp ishu ya henry kummwagia tindikali musa tesha kule igunga

KWA WATU WENYE KUANGALIA MBALI nafikiti issue ya igunga haimu tena kwenye vichwa vyao kwani mahakama chini ya utwala wa chama tawala imeisha litolea hukumu! 2+1=3 na siyo 4 !!
 
Wewe unayajua ya kinana, kumbuka msigwa anayajua ya kinana vizuri zaidi yako, aliomba atoe ushahi bungeni walipuuza, sasa atatoa huko mahakamani,wewe na kinana na washiriki wake mtegemee kuyumba zaidi mbele ya haki ya kisheria. Dont think msigwa was joking,he is a determined guy...wait and see what and how happens...
 

Mambo yakimzidia Kinana usisite kwenda kumsadia
 
Mkuu, sidhani kama Kinana angukuwa na ujasiri wa kwenda mahakamani na kufungua mashtaka kwa Msigwa kama kweli angekuwa jangili au kujihusisha na vitendo hivyo kwa nama yoyote ile.

Mkuu sidhani kama Msigwa angekuwa na ujasiri wa kukakataa kuomba radhi kama kweli hana ushahidi kuwa kinana ni jangili!

Just trying imitating the way you train your thought and thinking power....!
 
machadema yana akili kwani? Yamekamatwa na video ya kupanga kulisha watu, yamekamatwa kwa kosa la kumwagia mtu tindikali lakini yanang'ang'ania kujisafisha

Mahakama ndo imewasafisha Mburura wewe, Unless useme Mahakama haina akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…