Ni Kufuatia shutuma za ujangili dhidi yake,hivyo amefungua kesi kudai fidia. ...PATAMU HAPO

Msigwa alitamka shutuma hizo ndani ya bunge au mitaani???Ni Kufuatia shutuma za ujangili dhidi yake,hivyo amefungua kesi kudai fidia. ...PATAMU HAPO
Ndani ya bunge,akiwa na kinga kisheria,anachokifanya kinana ni kusambaza shutuma hiyo hadi wasioelewa kinachoendelea sasa wataelewa kuwa kinana ni jangili,ni bora angejikalia kimya tu upepo huu upite kama ilivyopita mingine,kinana ni headless.Msigwa alitamka shutuma hizo ndani ya bunge au mitaani???
haki yake kufanya hivyo, ni fundisho jingine kwa watu kuacha siasa za kishabiki na kutoa statements ukiwa na valid proof, haya sasa msigwa unayo nafasi ya kutudhihirishia uliyoyasema..tuache porojo madhara yake ndio kama haya..
Msigwa alitamka shutuma hizo ndani ya bunge au mitaani???
haki yake kufanya hivyo, ni fundisho jingine kwa watu kuacha siasa za kishabiki na kutoa statements ukiwa na valid proof, haya sasa msigwa unayo nafasi ya kutudhihirishia uliyoyasema..tuache porojo madhara yake ndio kama haya..
Nimeisikia hiyo magazetini.
Kuna wadau hapa majamvini walimwahidi msigwa kwamba wana ushahidi wa ziada dhidi ya Kinana, ambapo waliahidi kumpa Msigwa endapo Kinana angethubutu kwenda mahakamani.
Haya sasa, ni wakti muafaka kumpa huo ushahidi msigwa.