Kinana amburuza mh.msigwa kortini

diunal

JF-Expert Member
May 12, 2013
499
70
Ni Kufuatia shutuma za ujangili dhidi yake,hivyo amefungua kesi kudai fidia. ...PATAMU HAPO
 
upuuzi mwingine bana,kwani fidia inaondoa maneno ya Msigwa.Kwa nini adai alipwe?????Si amshitaki akibainika na kosa afungwe???Mafisadi washakuwa watumwa wa fedha,kila wakilala wakiamka wanawaza hela,itafikia hata mke wake akimkosea ataenda kudai kulipwa mahamani.
JAMBAZI NI JAMBAZI TU.
tutaleta na tembo waje kutoa ushahidi na haya yatakuwa ni maajabu ya muumba.
 
Lakini hata kama ni kweli au si kweli juu ya shutuma zake ni lazima mtu aonyeshe kupingana na hoja japo kweli inabaki nafsini mwake
 
haki yake kufanya hivyo, ni fundisho jingine kwa watu kuacha siasa za kishabiki na kutoa statements ukiwa na valid proof, haya sasa msigwa unayo nafasi ya kutudhihirishia uliyoyasema..tuache porojo madhara yake ndio kama haya..
 
Msigwa alitamka shutuma hizo ndani ya bunge au mitaani???
Ndani ya bunge,akiwa na kinga kisheria,anachokifanya kinana ni kusambaza shutuma hiyo hadi wasioelewa kinachoendelea sasa wataelewa kuwa kinana ni jangili,ni bora angejikalia kimya tu upepo huu upite kama ilivyopita mingine,kinana ni headless.
 
haki yake kufanya hivyo, ni fundisho jingine kwa watu kuacha siasa za kishabiki na kutoa statements ukiwa na valid proof, haya sasa msigwa unayo nafasi ya kutudhihirishia uliyoyasema..tuache porojo madhara yake ndio kama haya..

Kimsingi shutuma hizo zitathibitika mahakamani kama ni porojo, siasa za kishabiki, au madhara kwake mpaka hapo uamuzi au kweli itakapotolewa na chombo cha haki ( mahakama kuu ya TZ) ambako amefungua shauri lake.
 
Msigwa alitamka shutuma hizo ndani ya bunge au mitaani???

Aliyasema mwanzo bungeni then akaja kuwafafanulia wananch wa iringa wkt akizungumza na wamachinga..kinana haruki sanasana yeye ndio atamlipa msigwa gharama za kuendesha kesi.
 
haki yake kufanya hivyo, ni fundisho jingine kwa watu kuacha siasa za kishabiki na kutoa statements ukiwa na valid proof, haya sasa msigwa unayo nafasi ya kutudhihirishia uliyoyasema..tuache porojo madhara yake ndio kama haya..

Kinana ni jangiri meli zake zilikamatwa na pembe za ndovu na kampuni yake ndio iliyokuwa inasafirisha kwa mujibu wa sheria za kimataifa anayefacilitate wizi naye ni mwizi na ndio maana hata ukikodisha gari kwa mtu kwenda kubeba mali za wizi au magendo basi hadi hlo gari na lenyewe lina kosa.
 
La msingi ni mahakama kutenda haki na sio kupata shinikizo toka kwa wanene wa inji hii
 
Nimeisikia hiyo magazetini.
Kuna wadau hapa majamvini walimwahidi msigwa kwamba wana ushahidi wa ziada dhidi ya Kinana, ambapo waliahidi kumpa Msigwa endapo Kinana angethubutu kwenda mahakamani.
Haya sasa, ni wakti muafaka kumpa huo ushahidi msigwa.
 
You are very right mkuu...Wakati ni sasa.....
 
Nimeisikia hiyo magazetini.
Kuna wadau hapa majamvini walimwahidi msigwa kwamba wana ushahidi wa ziada dhidi ya Kinana, ambapo waliahidi kumpa Msigwa endapo Kinana angethubutu kwenda mahakamani.
Haya sasa, ni wakti muafaka kumpa huo ushahidi msigwa.

Hivi mfano endapo ikathibitika mahakamani shutuma hizo zina ushahidi, hapo inakuwaje sasa?
 
Msomali kachachamaa hahahahahahahaha ukweli cku zote unauma sana ndo maana kakimbilia cort asafishwe japo moyo wake unabwita maana anajua kama anazidi kuharibu zaidi sasa kila mtu atajua kuwa yeye ni jambazi wa tembo. Mungu yupo na ukweli utajurikana tu.
 
Tarangire simba dume wamebaki wawili tu..!!!
huyu kinana anatakiwa anyongwe kabisa ,hawa viongozi wa sisiemu ni majanga jamani.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom