Team Lumumba buku saba fc lazima walalamike kwakuwa survival yao inategemea upatikanaji wa posho.
Na kwakuwa wanaosafiri mikoani na Kinana wanalipwa posho ya sh.80,000 kwa siku kwahiyo kila mtu anatamani kusafiri katika ziara mikoani ili kupata uponyaji wa posh ndefu.
Kuchangisha buku saba hadi itoshe kununua kiroba cha sembe ni kazi ngumu sana.