Team Lumumba buku saba fc lazima walalamike kwakuwa survival yao inategemea upatikanaji wa posho.
Na kwakuwa wanaosafiri mikoani na Kinana wanalipwa posho ya sh.80,000 kwa siku kwahiyo kila mtu anatamani kusafiri katika ziara mikoani ili kupata uponyaji wa posh ndefu.
Kuchangisha buku saba hadi itoshe kununua kiroba cha sembe ni kazi ngumu sana.
Kazi anayofanya katibu mkuu na a/uenezi haipaswi kupuuzwa hata kidogo ni kazi ngumu na ya kijasiri tena yenye kukatisha tamaa ktk baadhi ya sehemu ambazo chama kilikuwa kimezorota kabisa ARI ZIMEAMSHWA UPYA NI NANI ASIYELIONA HILI?ccm lumumba ni shwari hakuna mgogoro wa aina yoyote,mambo ya chama yatashughulikiwa na chama na sio maadui wa chama au wanafiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.