Kinana aivuruga Lumumba

Kinana aivuruga Lumumba

Pale Lumumba wote wapo kwaajili ya posho wala siyo kujenga Chama, that's why wanalalamika! Matumbo yao ndo yanawasumbua na hakika nawaambieni, pale hakuna mwenye mapenzi na Chama kama Chama, bali njaa ndo zinawafanya wajidai wanakipenda Chama, maana wahenga walisema mtumikie kafili upate mradi wako!
 
CCM ilishajifia na Nyerere, kimebaki kikundi cha maintarahamwe fullstop
 
niliwahi kulisema hili kuwa kinana anahitaji kubadili mbinu mara kwa mara (creative) siasa za mipasho ziwe na sehemu yake na siasa za beleshi ziwe na mahala pake.

lazima afahamu yupi anakubalika wapi, awachezeshe wachezaji tofauti katika nafasi tofauti kupima uwezo wao na mvuto kwa jamii
 
Oooh!

Watu makini pia wameshaanza kuhoji kuhusu unafiki wa wazi unaofanywa kwenye ziara hizo tena kwa kukebehi na kudharau wananchi.

Mkuu bora umerudi kulinda kibarua chako,maana Yericko Nyerere halali akiipigania hiyo nafasi.
 
umejuaje kama Yericko Nyerere halali kama wewe unalala?

Huoni kuwa wewe ndiye mwenye nia ya dhati ukiipigania hiyo nafasi?

Kamwe sitatumika kisiasa anko.Siwezi kuipigania hiyo nafasi. Mlichomfanya Zitto kwangu ni darasa huru.
 
Last edited by a moderator:
kumbe hamjajua tu,kinana hataki kuambatana na watukanaji,anataka wajenga Hoja hata kama ni za kipumbafu,hapendi kusikia matusi.watukanaji wote mtaendelea kusoma magazeti ofisini na kutukana huku JF
 
Wacha watoane roho........... Na huyo mropokaji lazima atakuwa Mtela duh!

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Mkuu bora umerudi kulinda kibarua chako,maana Yericko Nyerere halali akiipigania hiyo nafasi.

Kurugenzi ya habari ya chadema ni kubwa wewe acha ushambenga..... Unamuwazia Makene tu mbulula

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
niliwahi kulisema hili kuwa kinana anahitaji kubadili mbinu mara kwa mara (creative) siasa za mipasho ziwe na sehemu yake na siasa za beleshi ziwe na mahala pake.

lazima afahamu yupi anakubalika wapi, awachezeshe wachezaji tofauti katika nafasi tofauti kupima uwezo wao na mvuto kwa jamii

Creativity ina hitaji mtu mwenye IQ kubwa,kinana hana uwezo wa kubadili mbinu kichwa chenyewe hakina kisogo unadhani akili ata itoa wapi....
 
kuna sintofahamu katika ofisi ndogo za ccm-lumumba kuhusu ziara zinazoendelea za katibu mkuu wa ccm,kanali mstaafu abdurahman kinana. Patashika hiyo ya kichama ni kuhusu hasa timu inayoambatana na kinana katika ziara za mikoani.makada waandamizi wa lumumba wanadai kuwa ziara za kinana hazilengi kuimarisha chama kama zinavyoonekena ila ni kujitangaza na kuwatangaza anaoambatana nao ili kujiandaa kwa uchaguzi mkuu wa mwakani.

"werevu tunajua.katibu mkuu na timu yake wako katika kujitangaza na kujitafutia umaarufu wa kisiasa. Hakuna jipya ambalo wanalifanya. Ndiyo maana hata timu yake haibadiliki.ni kwamba amechagua vijana wa kuwatangaza na wengine kuwatenga. Kwanini timu haibadiliki? Kwani nani hawezi kuhutubia na nani hataki posho?" aliuliza kwa kulalama kada mmoja maarufu aliyehamia ccm katika miaka ya karibuni.

"ziara za katibu mkuu zitaleta ubaguzi chamani na mpasuko usio na maana. Chama hakiimarishwi na watu wale wale kila siku.kila kada anaweza kwenda mikoani na kukitangaza chama. Kwanini wale wale hata kama wanaonekana kusema mambo ya kawaida sana? Tunajiandaa kuchukua hatua juu ya hili" alidakia kada mwingine wa ofisi ndogo lumumba

nionavyo,lengo kuu ni posho na umaarufu. Kumbe!??

mzee tupatupa wa lumumba,dar es salaam

huna hoja. Km ww unataka posho hama chama. Waache watu wafanye kazi.
 
Back
Top Bottom