Umeudhi tu kutaja kabila la kijana!.. Inamaana ubongo wako umepinda, kulikuwa na haja gani kutaja kabila?. Au we ni mmoja wapo wa wanaofutiwa watokeo
Mkuu umenivunja mbavu. ha ha ha haaa!Wamrudishie dola zake 60 vinginevyo usalama wa tembo utakuwa hatarini
Mkuu usitokwe na povu bure, si upige kwa mkuu wa kituo uulize?thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namna hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?
Wamrudishie dola zake 60 vinginevyo usalama wa tembo utakuwa hatarini
Sasa wewe kibaraka wa magamba unabwata hapa kwa buku 7 mwenzako ana dollar 60 elfu mchagoni wewe umejaza kunguni halafu unatoka mapovu hapa....kuna mtu asiejua kwamba kinana ni jangili??Hizo pesa unadhani ni mshahara wa masisiem??tumieni akili kufikiri na sio masaburi.thread za uzushi na uwongo uliokithiri wenye kulenga kumchafua mtu na kuishusha hadhi yake zinaihribia JF na kuonekana na moja miongoni mwa medias zinazotumiwa kimkakati katika kuchafua viongozi wa Chama na serikali. Jambo hili ni baya na linaloleta tafsir mbaya mbele ya jamii, ni
vibaya mno media kutumika kwa maslahi ya mtu au kikundi. Mods thread hizi za namn
a hii kwanini zipewe nafasi hapa JF..?