Kinadada tu: ipi bora kati ya kubwa na ndogo?

Dah! yani umeua kabisaaa.Pete siku hizi ni fasheni.Na kuna watu wanajivalisha wenyewe waonekane wamechumbiwa au wameolewa.
Kwa mtizamo wangu kuvaa pete ni heshima kubwa sana(i mean wanaovaa pete huwa wanaheshimiwa zaidi)

Mimi pia nimewahi kusikia kuwa watu wanajivalisha pete kwa madhumuni mbalimbali; wengine wanawataka waume wa watu maana inasemekana siku hizi waume zetu wanapenda kutoka na wake za watu eti hawabanwi sana huko (sijui ukweli wa hili jambo ukoje, mimi nimesikia tu); wengine wanasema eti wanaheshimika wakiwa na pete
Back to the topic, kama unataka kumpa mtu fulani pete angalia vidole vyake vinafananaje. kuna vidole vingine havipendezi pete kuubwa, na vingine vinapendeza. ila la maana zaidi kwenye kuvalishana hizo pete ni how you feel, sio tu kutimiza wajibu wa kumvalisha mtu pete
 
Dah! yani umeua kabisaaa.Pete siku hizi ni fasheni.Na kuna watu wanajivalisha wenyewe waonekane wamechumbiwa au wameolewa.
Kwa mtizamo wangu kuvaa pete ni heshima kubwa sana(i mean wanaovaa pete huwa wanaheshimiwa zaidi)

Ulimbukeni na vilevile ni kupoteza maana halisi,kama ni fasheni basi uharibifu wa heshima,hata mtoto wa chekechea atavaa!!
 
kusoma title nikavutiwa kufungua thread, lol niliyokuta ndani mmmmh...opposite!
 
niliposoma swali lako kabla ya kufungua hii nyuzi, nilikuwa najiuliza kulikoni,
jamaa unafaa sana kuandika haya magazeti yetu ya kisasa
 
Back
Top Bottom