Ngalikihinja
JF-Expert Member
- Sep 1, 2009
- 34,637
- 37,960
Umeuona mkataba wetu na grafani11 ?Ukiona hivo ujue nimekumiss :smile-big:
Umeuona mkataba wetu na grafani11 ?Ukiona hivo ujue nimekumiss :smile-big:
Kumezuka uhalifu jijin
dar hususan muda wa jioni kwenye vituo vikuu vya daladala vya posta na
kariakoo wakat usafiri wa daladala unapokuwa shida zinaibuka taxi za
kuchangia. Wadada bila kujua nao hujichanganyaka humo hatimaye huishia
kubakwa, na kuporwa. Chukuen tahadhari
Umeuona mkataba wetu na grafani11 ?
give us mfano hai
Siku ukija kubanguliwa ndio utakapoupata huo mfano hai
Enheee kama ule wa wale wakenya... Hatutaki ugomvi...Mmewekeana Mkataba!!!!!!! .........Sijauona
Enheee kama ule wa wale wakenya... Hatutaki ugomvi...
CC
grafani11
hahaaa mbona mmeandikishana bila kunishirikisha
We unawapenda wote... Yaani ulikuwa unautekeleza mkataba kabla hata hatujaandikishana.. so hakukuwa na haja ya kukushirikisha, kwani, it makes no difference. Tutakupa ratiba tu ya lini uende wapi..??? Yaani hata kama mmoja akisafiri zamu yake ikifika unamfuata, na zamu ya mwingine ikikukuta safarini unageuza kumfuata mwenye zamu
Nilifikiri amezielfu moja,usijali mweke karibu na bank...pia tusipende kuongea na simu zetu kwa kujiachia maeneo ya posta,,kuna jamaa wanakwapua kwa kutumia bodaboda,,,imemtokea rafiki yangu mpka leo amezimia maana Iphone 5 ya wiki moja imeondoka