Kinadada ogopeni taxi za kuchangia

Kinadada ogopeni taxi za kuchangia

SSH2025_2030

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
9,661
Reaction score
9,756
Kumezuka uhalifu jijin dar hususan muda wa jioni kwenye vituo vikuu vya daladala vya posta na kariakoo wakat usafiri wa daladala unapokuwa shida zinaibuka taxi za kuchangia. Wadada bila kujua nao hujichanganyaka humo hatimaye huishia kubakwa, na kuporwa. Chukuen tahadhari
 
asante mdau. kuna watu wanafikiri kila kitu ni utani au masihara. asante kwa taarifa. kinga ni zaidi ya tiba.
 
sasa hv hata bodaboda na ni kwa wote men and women are vulnerable to kuibiwa au wanawake na kubakwa nina ushahid wa hawa bodaboda wanaopaki hapa shekilango,most of people who are living around external wakiwa wanatoka posta wanashuka shekilango then wanatake bodaboda short cut kutokea external mataa,so pale kati makaburini ni hatari sana
 
Umesahau mkuu na ile barabara ya mnaz mmoja sikuhz wanakwapua handbags..kwa watembea kwa miguu hawa watu wa pikipiki,wiki iliyopita wamemliza rafk angu mkoba mzima akiwa anatoka kwenye masomo yake ya jion! Kuwen makin pia na uwiz huu
 
We jiji gani halina hata Camera,tunasubiria hadi misaada,si hatari hii.
Jiji lenyewe Dogo,funga Cameras tu uone kazi,kila siku watu watashikishwa adabu.
Maana hao Polisi wenyewe kazi imewashinda,wanapita mida ya mchana kuzuga kisha wanaenda chini ya miti kusinzia.

Jiji la Dar sasahivi uhalifu ni wa kitoto sana,nashangaa hata polisi kushindwa hili.Tena matukio mengi sana yanafanyika katikati ya Jiji
 
Back
Top Bottom