Kinachowatisha CCM kwenye No Reforms no Election

Tundulisu dakika zile zamwisho ,alizoongea alitakiwa awambie wakinamama warudi nyuma wamaume wote ,wasogee mbele jukwani watoto watoke eneo husika

Kila mwananchi ,aandae maji

Na mikutano ijayo Kila mwananchi awe na makopo mawili ya maji kwajili ya kunawa yakipigwa mabomu
Hahaha watu hawaogopi moshi wanaogopa vipigo vya polisi, mabomu huwa ni mbinu ya polisi kuwachanganya wananchi, mkianza kukimbia mnaanza kupigwa.
 
Dawa ni kutoshiriki kabisa uchaguzi ujao kama hakuna reforms na Tume huru ya uchaguzi. CHADEMA hawapaswi kuwa baridi na moto kwa wakati mmoja #NoreformsNoelection ndio njia sahihi inayoeleweka na tayari kuna watu kwa chaguzi zote zilizopita hawakuinua mguu kwenda kupiga kura ambayo ni maigizo.

Nchimbi anajidanganya kufikiria kuwa uchaguzi hauwezi kuzuiliwa licha ya uwepo wake kuwa kikatiba. Wananchi wanaopiga kura ndio wenye hoja hiyo
CHADEMA ni watekelezaji tu na Tundu Antipas Lissu ndie yule Mussa wa kwenye Biblia na sio LAZIMA yeye ndie awe Rais, mwelekeo ni kung'oka kwa hicho chama chakavu tena dharimu.

Kuna ujinga mwingine unapenyezwa eti uchaguzi utafanyika tu hata kama CHADEMA hawatashiriki eti kuna vyama vingine....Nasema THUBUTU!
Credibility ya CCM kushinda uchaguzi inaamuliwa na chama chenye wafuasi wengi na kina angalau structure ya uongozi inayotabilika.
Hapa ACT_Wazalendo inahusika na iko upande wa wananchi. CCM ikitegemea majigambo yake ya kuwa na wanachama million sijui ngapi ya wajinga vikiwemo vyama mamluki vidogo vidogo vya mfukoni... Huwezi kuuita uchaguzi. CCM kama wana mtaji huo kwa nini wanahangaika na Lissu sasa na jana tu wameanza kupiga watu risasi na mabomu? 😲
Waende na No Election, kwa sababu There is no Reforms, and we all know that already.
 
..Cdm wakishiriki uchaguzi DOLA itahakikisha wanapewa kura kiduchu zitakazopelekea kupata ruzuku isiyo na manufaa yoyote kwa chama.
Hizo ndio mbinu zao za ku demoralize morale ya wananchi dhidi ya chaguzi zote walizofanya wizi, na ghiliba za ujanja ujanja. Wanataka wananchi waichukie CHADEMA lakini kila ikianza mikutano ina shika moto kama moto wa petroli.

Waliiacha CHADEMA ifanye mikutanoi wakidhani imechoka, wakagundua assumption zao ni za uongo.
 
Dawa ni kutoshiriki kabisa uchaguzi ujao kama hakuna reforms na Tume huru ya uchaguzi. CHADEMA hawapaswi kuwa baridi na moto kwa wakati mmoja #NoreformsNoelection ndio njia sahihi inayoeleweka na tayari kuna watu kwa chaguzi zote zilizopita hawakuinua mguu kwenda kupiga kura ambayo ni maigizo.

Nchimbi anajidanganya kufikiria kuwa uchaguzi hauwezi kuzuiliwa licha ya uwepo wake kuwa kikatiba. Wananchi wanaopiga kura ndio wenye hoja hiyo
CHADEMA ni watekelezaji tu na Tundu Antipas Lissu ndie yule Mussa wa kwenye Biblia na sio LAZIMA yeye ndie awe Rais, mwelekeo ni kung'oka kwa hicho chama chakavu tena dharimu.

Kuna ujinga mwingine unapenyezwa eti uchaguzi utafanyika tu hata kama CHADEMA hawatashiriki eti kuna vyama vingine....Nasema THUBUTU!
Credibility ya CCM kushinda uchaguzi inaamuliwa na chama chenye wafuasi wengi na kina angalau structure ya uongozi inayotabilika.
Hapa ACT_Wazalendo inahusika na iko upande wa wananchi. CCM ikitegemea majigambo yake ya kuwa na wanachama million sijui ngapi ya wajinga vikiwemo vyama mamluki vidogo vidogo vya mfukoni... Huwezi kuuita uchaguzi. CCM kama wana mtaji huo kwa nini wanahangaika na Lissu sasa na jana tu wameanza kupiga watu risasi na mabomu? 😲
Sasa Ataelewa kwamba muitikio wa wananchi unaonyesha kwamba No Reforms No Election ina nguvu kuliko "Kazi na Utu ya ccm.
 
No Reforms No Election imewagusa wakatikisika.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom