mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,276
- 12,336
Vile vile Yohana pumzi imemuishia. Inaelekea hawezi kwenda zaidi ya week bila mapumziko.Toka Zitto aseme kuwa 3/10/2020 watakuwa na mkutano wa pamoja kati ya Chadema na Act katika viwaja vya mwembe yanga,naona kama tume ,Msajili na Polisi wote wanajaribu kuzuia tundu Lissu asiongee hapo kesho ?
Kwanini wanaogopa muungano wa wapinzani?