Umenena vema sana.Ni hatari sana kulijadili hili swala katika nyakati hizi ambazo kuna vitisho vya mashambulizi ya kigaidi.Kufundisha watu aina za mabomu,yanavyotengenezwa na jinsi yanavyodhuru ni hatari sana kwani hata hujui aliyeuliza ni nani na ana lengo gani.Nashauri hizi taarifa alizotoa snipa zingefutwa.
Wewe kibibi ni mdini balaaa....
[h=1]1 Wakorintho 5Yote kwa yote, tena ni mke wa mtu kama wewe. Na hajawahi kupungua utamu.
Nashauri hizi taarifa alizotoa snipa zingefutwa.
Inawezekna wewe na huyo unayemuunga mkono hamjui kusoma hau huwa hamuelewi...inaonyesha hamjaelewa kinaongelewa nini...
Upele umepata mkunajiInategemea na bomu lenyewe lilivyoundwa, kuna mabomu aina nyingi sana. Mengine hayauwi kabisa yana namana nyingine za matumizi huitwa "non lethal bombs".
Usishangae, Wamerekani walishataka (proposed) kutengeza bomb la ushoga, naam ushoga aka nsǝuƃǝ, likipigwa wanaume wanatamaniana wenyewe kwa wenyewe na wanashindwa kujizuwia. Sijui kama hawajalitengeza.
Chanzo: The U.S. Military's Proposed "Gay" Bomb
Mkuu shikamoo...karibu kwetu Tungamalenga hatujajui mabomu wala risasi...
Hii topic si nzuri sana kwa hizi nyakati. Mtatafutwa kwa kujifunza mbinu za kigaidi bure. wacha nikimbie...
kilianzia bomu kikaja risasi kikawa kama kinaingia kwenye siasa ghafla kipo kwenye dini sio muda kitaingia matakoni mwenu kujifanya mnajua....shenzy sana!
Karibu mahuninga
snipa je haya ndg zetu wanayo meza au kuvaa vp ?
Umenena vema sana.Ni hatari sana kulijadili hili swala katika nyakati hizi ambazo kuna vitisho vya mashambulizi ya kigaidi.Kufundisha watu aina za mabomu,yanavyotengenezwa na jinsi yanavyodhuru ni hatari sana kwani hata hujui aliyeuliza ni nani na ana lengo gani.Nashauri hizi taarifa alizotoa snipa zingefutwa.
Wanayomeza au kuvaa nayo pia yamegawanyika !
Delay action !
Yaani ni yanayoripuka ndani ya sekunde kadhaa, au ambayo ni non delay action yanayoripuka tu mtu akibonyeza switch/kulishtua kwa namna yeyote ile.
huo ni mfano wa bomu linalotumia time count down.
Ndugu zetu huwa wanatumia aina zote hizi za mabomu yaani ambayo hayana time elapse na yenye time elapse count down, ambayo mara nyingi wanayatengeza kienyeji, ata wewe unaweza tengeneza kwani unaweza kununua explosive materials kwa bei ya kawaida tu inategemeana na hizo material ni za Pressure gas, au chemical ya aina yeyote ile kulingana na time of reaction na uwezo wenyewe waku expand, kwamfano chemical mara nyingi wanauza kwa kilo, "Kg" unaeza uziwa dola 110/kg kulingana na aina yenyewe, ila kutengeneza yaani kuliunda utahudumia mwenyewe.
Hizi ni explosive material ambazo ukiskia mtu kakutwa na vifaa vya miripuko, hua kama hivi baadhi
Na inategemeana, kama litakua ni la count down itabidi mtu ahitaji digital stop watch/local kama ya kwenye picha hii, betri lakuendesha system nzima... Na Explosive substance yenyewe, Ndugu zetu hawa wanatengeza mabomu locally sana.
Na pia yapo ambayo ni modern tena yanakuwa controlled kwakutumia signals, yaani mtu anaweza lipua bomu akiwa mbali na bomu lenyewe kwakutumia external switch ambayo kama itakua ni simu, saa n.k... Haya yanatumika sana kwenye mission za kijeshi, ila hawa ndugu zetu hawajali maisha yao, so wanatumia tu yakienyeji.
Kwenye kuweka tumboni, nazani wanatumia njia ya upasuaji, sio kumeza tu mdomoni.