Kinachotutokea wanaume huko saloon

Kinachotutokea wanaume huko saloon

Hizi saloon Safi sana unapata huduma na burudani.
 
Yaani saluni kama hizo ukienda na mkeo masaji yao wanafanya Kama wanachimba mtaro
Mkuu hata mkeo hatafurahia jinsi huduma inavyotolewa. Kuna siku nilikuwa na wife alikuwa around nikamwambia anipitie, kumbe alikuwa ananipimia baadae home alinimind...
 
Dawa ni kutafuta mkasi mpyaa ukitaka kunyoa mwambie mama watoto wako akunyoe kwisha habari mbna issue ndgo tu aiseee kwani lazim uende saloon
 
Samahanini kwa Picha lakini ujumbe ufike maana naamini hakuna mgeni kwa haya..

Jamani Wapenzi wake zetu, hivi kweli Mnajua yanayotukumba sisi wapenzi na waume zenu tunapokwenda kunyoa ktk Barbrshop (Hair Salon za Kiume)? Hayo hapo Chini...
Kama hii mbinu ameibuni shetani basi shetani wa sasa ni Kijana tena Sharobaro!...
... Kwani Hawa wadada wao hawaolewi wakae tu na waume zao ndani?
d0117657bbc161ca1909cf9af1e57689.jpg
Demu mwenyewe mbayaaaa [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] hata havutii.
 
Mm nmeshaachaga kwenda hizi saloon za wahudumu wanawake.


Wanakushika shika tu na kukutajia bei za juu wengine sisi mwanamke akishaanza kukushika shingo mara mashavu sijui masikio unakuta umeshadinda muda mrefuu
 
Back
Top Bottom