tucker carlson
Member
- Oct 5, 2025
- 32
- 202
Wakuu,
Nilitegemea angekemea utekaji na kusema kwamba kwenye awamu yake ya pili hategemei kusikia wala kuona Watanzania wanatekwa.
Lakini hola!
Maana yake ni kwamba tutaendelea kutekwa na kile kikundi cha Watu Wasiojulikana wataendelea kutunyakua Watanzania.
Hii nchi imeoza to the core!