serikali za mitaa mbowe aliwadanganya mjitoe maana alijua ni aibu gani anaenda kuipata maana hakuna mpinzani angepata aibu akaona awatoe kushiriki uchaguzi ulikuwa huru na haki kabisaHivi kuna uchaguzi wa maagizo zaidi ya ule wa serikali za mitaa?
Iweje Leo uuone uchaguzi wa Chadema kuwa wa maigizi wakati ulifunga mdomo wako na macho yako wakati wa UCHAFUZI wa serikali za mitaa, wala hukutaka hata kunyanyua mdomo wako kama ufanyavyo sasa kukemea uhuni ule?