Kinachoitwa uchaguzi wa CHADEMA ni maigizo na kiini macho cha Demokrasia

Hivi kuna uchaguzi wa maagizo zaidi ya ule wa serikali za mitaa?

Iweje Leo uuone uchaguzi wa Chadema kuwa wa maigizi wakati ulifunga mdomo wako na macho yako wakati wa UCHAFUZI wa serikali za mitaa, wala hukutaka hata kunyanyua mdomo wako kama ufanyavyo sasa kukemea uhuni ule?
serikali za mitaa mbowe aliwadanganya mjitoe maana alijua ni aibu gani anaenda kuipata maana hakuna mpinzani angepata aibu akaona awatoe kushiriki uchaguzi ulikuwa huru na haki kabisa
 
serikali za mitaa mbowe aliwadanganya mjitoe maana alijua ni aibu gani anaenda kuipata maana hakuna mpinzani angepata aibu akaona awatoe kushiriki uchaguzi ulikuwa huru na haki kabisa
Mbona mnapenda kutangaza propaganda?

Kwani nani hajui kuwa nyinyi CCM mlifanya "ujambazi" wa hali ya juu, katika uchaguzi huo wa serikali za mitaa?

Hivi hao wasimamizi wa uchaguzi kuzikimbia ofisi zao ili "kuwakacha" wagombea wa upinzani ndiyo demokrasia?
 
Shigganza,
Hivi kuna uchaguzi wa maigizo zaidi ya ule wa serikali za mitaa uliofanyika hivi karibuni?

Iweje Leo uuone uchaguzi wa Chadema kuwa wa maigizo wakati ulifunga mdomo wako na macho yako wakati wa UCHAFUZI wa serikali za mitaa, wala hukutaka hata kunyanyua mdomo wako kama ufanyavyo sasa kukemea uhuni ule?
tujielekeze kwenye mada ya leo masuala ya CCM tutayapa muda siku nyingine
 
serikali za mitaa mbowe aliwadanganya mjitoe maana alijua ni aibu gani anaenda kuipata maana hakuna mpinzani angepata aibu akaona awatoe kushiriki uchaguzi ulikuwa huru na haki kabisa
Pamoja na kujitoa waliweza pia kushinda na Mrema aliyegombea akashindwa!
Kama hapo haujajifunza kitu basi utakuwa si riziki.
 
Back
Top Bottom