Kinachoiponza Tanzania ni mashitaka dhidi ya mwana habari Erick Kabendera, ni kama marehemu Jamal Khashoggi (Mwanahabari)

Hebu tuweke kumbukumbu sahihi. Huyu Eric Kabendera ni investigative Journalist mwenye kiwango cha juu katika kufuatilia na kuchambua.

Kama angekuwa na kosa la kuchafua nchi, basi tungeona Serikali ikimfungulia mashtaka yanayoendana na Sheria ya Huduma ya Habari au Sheria Cyber crime ya Mwaka 2015.

Kitendo cha kumfungulia mashtaka kwa Sheria ya Kuhujumu Uchumi na kutakatisha fedha ni dhahiri kuwa Eric Kabendera alikuwa ameandika habari za ukweli ambazo Serikali haina majibu. Kama katakatisha fedha basi kesi ianze na tuone ushahidi. Kinyume cha hapo ni unyanyasaji na dhuluma dhidi ya haki za Binadamu.
Uko sahihi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwaiyo kabwili hawezi chukua milioni 6 za mo na kuzitakatisha na asifunguliwe mashtaka kwakua yeye ni mwanamichezo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mleta thread ni mwongo. US Visa embargo/sanction dhidi ya Tanzania, Belarus, Nigeria, Eritrea, Kyzkystan et la inatokana na raia wengi wa nchi hizo (Watanzania) walioko US kujihusisa na vitendo vya kihalifu. Ni tatizo la kushindwa kutekelezeka kwa sera za ndani za America..
 
Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.

Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Una ushaidi gani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom