Kwahiyo kumbe kesi ya uhujumu uchumi ni ya kubumbabumba?Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Saud Arabia walitishia kuvunja mahusiano na Marekani na kususia kutumia dollars na badala yake wawe mshirika na Russia,Sasa mbona Saudi Arabia hawajawekewa vikwazo, kama ndio hivyo?
Mapatre watapata ruzuku kutok Vatican cityNaomba kuuliza hivi vikwazo vinawapata hadi mapadre? Au ni sisi akina wamwise
Sent using Jamii Forums mobile app
Mhhhh huwo uwongo jamani Tena mkubwa kabendera alikuwa anatumiwa na baadhi ya watu katika serikali walikuwa wakimlipa nakumpa Siri ili azitoeKabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Wao walipambambana kusolve ishu na walijitoa kuwa hawahusiki kwa kuwachukulia hatua wahusika. Nyie endeleeni kushupaza shingo.
Nyie wanafiki sana. Kama unayoyasema ni kweli mbona mnamshtaki kwa kutakatisha fedha?Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Kumbe sio big deal, waache waweke tu kumbe visa za business na visitors tu.Hiki ndiyo kilichoiponza Tanzania, Ukaguzi wa uhakika kwa wanaoenda MarekaniView attachment 1331184
Sent using Jamii Forums mobile app
Je, foreign agents wanaoiingiza nchi kwenye mikataba ya kichifu Mangungo wafanywaje?Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.
Hata wakiweka vikwazo hakuna kumuachia Kabendera hadi apate haki na stahili yake kwa kuichafua nchi ili iwe fundisho kwa nyumbu yoyote ukitumika kama foreign agents wewe ni adui wa nchi na adhabu inayokustahili ki usalama ni kuwa eliminated.
Urongo mtupu. Tatizo ni wajitoa mhanga au ugaidi tuNa huo ndiyo ukweli wenyewe. Mwana habari Erick Kabendera nje ya Tanzania ni mwana habari mwenye nguvu na mwenye uzani sawa na kina Jamal Khashoggi. Hayo mengine yalitokea yakapita kimya bila madhara makubwa. Wapo waliotekwa, wapo waliopotea, wapo walionusurika kuuawa, wapo waliouawa na wapo walionyang'anywa uwekezaji wao wa jasho na damu kwenye huu utawala wa John Pombe Magufuli. Hayo yote yalipita huku yakiangaliwa kwa mbali kidogo na subira.
Serikali ilikuja kujichanganya sana kumkamata mwana habari Erick Kabendera ambaye ni mwana habari anayehabarisha nje ya mipaka ya Tanzania, mwana habari aliykeuwa anatoa ukweli wote wa yanayoendelea Tanzania huko nje. Walijichanganya sana kumkamata na kumfungulia mashitaka ya uonevu na kubambikia.
Kukamatwa kwa Erick Kabendera kumetibua majeraha yote na sasa Tanzania ilianza kuchunguzwa kwa umakini zaidi na ndipo yanakuja haya.Na kusema kweli tutayavaa na si kwa Marekani pekee bali mlolongo wote wa mataifa ya NATO.
Mwana habari Jamal Khashoggi ambaye aliuawa kikatili ndani ya ofisi za ubalozi kwa kile kinachoelezwa kuwa alikuwa akimvua nguo kwa kumuandika mwana mfalme wa Saudi Arabia, mauaji yake yalileta sintofahamu kubwa duniani na kupelekea utawala wa Saudi Arabia kukosa imani kwa Marekani. Basi huyu Kabendera ni level zile zile za kina marehemu Khashoggi. Naamini kwa wale wanaoenda mahakamani kushuhidia kesi ya Kabendera na kuona wafuatiliaji wageni wa kesi hii tutakuwa pamoja.
Mashitaka dhidi ya Kabendera yataiponza Tanzania zaidi ya hapa!
Bahati mbaya sana na Nigeria nao wamekumbwa na tukio hilo hilo baada ya wao pia kujiingiza ku deal na mwanahabari nguli Omoyele Sowore. Nigeria wana ugaidi wa kila aina, wana matapeli duniani hakuna na yote haya wameyafanya kwa miaka mingi iweje leo? Ukitaka uhasama na dunia iliyostaharabika basi wabughudhi waandishi wanaoonekana ni threat kwako kama wewe ni mtawala.
Kabendera alikuwa anatumika na Acacia na baadhi ya nchi kuchafua taswira ya Tz, hii ndio sababu kubwa wanaifuatilia kesi ya Kabendera kwa ukaribu sana maana ni “asset” yao. Adhabu ya Kabendera kwa nchi nyingi ni kifo maana hana tofauti na spy au foreign agent yoyote anayetumika kuchafua nchi.