bukoba boy
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 5,376
- 3,976
Wakuu,
Kitu gani kinaendelea Ugiriki?sababu kila kukicha ni habari kiihusu hiyo na eurozone,mara walipe 1.8m by monday mara wasipolipa wanaweza toka eurozone mara wapunguze subsidies mara waongeze kodi mara wapewe mda zaidi wa kulipa hiyo 1.8m!
Wataalam shusheni mambo hapa kilaini ili na layman kama mimi ning'amue.