Kinachoendelea Uganda baada ya Internet kuzimwa kinaenda kufanana na kilichotokea Tanzania kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

Kinachoendelea Uganda baada ya Internet kuzimwa kinaenda kufanana na kilichotokea Tanzania kwenye uchaguzi mkuu Oktoba 29, 2025

Hivi watawala wa kiafrika hawaipendi Internet wakati wa kipindi cha uchaguzi kwanini!? Watawala wa Kiafrika kwanini hawapendi kabisa kusikia kuna mtu anawakosoa? kwenye Nyumba za ibada si tunaambiwa hakuna mwanadamu aliye mkamilifu chini ya Jua?! kwanini wao iwe dhambi kukosolewa na kuwaruhusu walio nnje ya madaraka nao waseme na wasikilizwe!? Afrika 😭 😭 😭 😭
Basically wanataka muitumie internet kuangalia games, mpira, movies, pornography na mambo kama hayo. Ukigusa sensitive issues hawataki kabisa
 
Tz hakuna kilichotokea ni amani ilitawala ni nyumbu wahalifu wachache walishughulikiwa kikamilifu nchi imerudi kwenye amani.
Mwafrika ni kama mweusi sio nje tu hata akili na utashi.

Inabidi utafiti uendelee kuchunguza kama kweli mtu mweusi ni mwanadamu kweli au ni spicie nyingine.
 
Bara la Africa inabidi wakoloni warudi walitawale upya ili watolewe hawa wakoloni weusi tulio nao.
 
Back
Top Bottom