Walitoka kwenye ukombozi wakaingia kwenye mapinduzi ya kupindua katiba.Kuna chama kinajiita cha ukombozi hapa kwetu cha ajabu kimeshindwa kuwakomboa wananchi wake na umasikini kwa miaka zaidi ya 60 sasa. Sasa sijui kilikomboa kina nani?
Kwa sababu tunaona inaguswaguswa kwa maslahi ya umma, tungeona kunashida kingeshanuka, eleweni tu kwamba mkuu wa nchi tumemwelewa na afanye chochote hatutonung'unika maadamu tunaelewa anafanya kwa maslahi yetu tuliowengi na sio nyie vyeti feki mnaomchuki.Kuna chama kinajiita cha ukombozi hapa kwetu cha ajabu kimeshindwa kuwakomboa wananchi wake na umasikini kwa miaka zaidi ya 60 sasa. Sasa sijui kilikomboa kina nani?
Asante mhitimu wa chuo cha kata. Una jambo lingine?Kwa sababu tunaona inaguswaguswa kwa maslahi ya umma, tungeona kunashida kingeshanuka, eleweni tu kwamba mkuu wa nchi tumemwelewa na afanye chochote hatutonung'unika maadamu tunaelewa anafanya kwa maslahi yetu tuliowengi na sio nyie vyeti feki mnaomchuki.