Kinachoendelea Syria, Mungu haoni?

Kwenye tears of the son jamaa anasema God save Africa yule mwingine anajibu God has already forgotten about Africa... Labda ndicho kinachotokea Syria
 
Nafkiri haihitaji akili nyingi kujuwa kwamba mungu yupo nayeye ni muweza wa kila kitu..
Jibu hoja mkui


Kama yupo na nimuweza kwann kaacha Syria nk viumbe vyake wasio na hatia wateseke,wasulubike nk


Huyu kiumbe Mungu yupo kweli??
 
Daah

Alimwacha shetan amjaribu ayubu na huku pia anajua fika majibu take kwamna ayubu atajaribu at hatajaribika.?

Yaan kwa kifupi maagizo
 
ila kuna wakat mungu anaacha shetan atende atakayo ili kupima iman zetu

Dah

Serious??

Mungu anajua kesho mm nitatenda dhambi sasa kuna haja gan ya yeye kunipima??

Mungu anajua future yangu toka pindi ananiumba SASA KUNA HAJA GANI YA KUTUMA KIUMBE KINIJARIBU??

KUNA JAMAA ALIHOJI HUMU

HIV KM MUNGU ANAUWEZO WA KUFANYA LOLOTE NA CHOCHOTE JE MUngu anauwezo wa kuumba kitu ambacho hawezi kukicontrol?? Eg shetan

Umeazungumza kuna powez mbili mbomoaji na mjenz..HV jamaa unaelewa ulichoandika
 
Kwa unavotaka weye sijaona sababu ya Mungu wako yesu kukuleta duniani badala ya kukuingiza peponi moja kwa moja πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€
ndio umejibu nini
nimekuuliza Mungu ili amjaribu mtu hamjui?
 
Kwann Mungu haoni??.

Dameski =Damascus=Syria.

Sasa Ukijipa Muda wa kusoma Biblia mambo haya wala hayatakua yakushangaza nikwann yanatokea ...

Mungu mwenyewe amesema haya
hizi ndo watu hujidanganya kuwa ni unabii,
wakati kiuhalisia sio.

Huyo mwandishi alikuwa akiongelea vita vya enzi hizo,wakati syria na israel zilipoungana kuipiga yudah ,baada ya kukataa kuungana nao kupigana na asyria empire.

Mfalme wa yuda aliomba usaidizi kwa asyria,ndipo jeshi la asyria likaupiga na kuungasha ufalme wa Aram,ambayo ndo syria ya leo,

wasyria wakaendelea na kuungusha utawala wa israel na kuwachukua utumwani,

kuanguka kwa israel ni matokeo ya mfalme wa yudah,kuwasnitch kwa super power ya enzi ile,Asyrian empire na haihusiani na mambo ya spritual wala unabii wowote
 
ndio umejibu nini
nimekuuliza Mungu ili amjaribu mtu hamjui?
View attachment 704963
Mkiambiwa munasoma uchwara una panic...

hebu pitia hapa halafu tizama huo uoza ulotuwekea.

Genesis 22:1
And it came to pass after these things, that God did tempt Abraham, and said unto him, Abraham: and he said, Behold, [here] I [am].
 
Mkiambiwa munasoma uchwara una panic...

hebu pitia hapa halafu tizama huo uoza ulotuwekea.

Genesis 22:1
And it came to pass after these things, that God did tempt Abraham, and said unto him, Abraham: and he said, Behold, [here] I [am].
wee unachekesha
kwani abdul qathem alipo kufahamisha kwamba kila umma tumewajaalia kawaida yao ya ibada na sheria zao quran 22:67 kaongopa
au wewe huja muelewa? Ibrahim uliye mnukuu ni kaumu gani?
 
wee unachekesha
kwani abdul qathem alipo kufahamisha kwamba kila umma tumewajaalia kawaida yao ya ibada na sheria zao quran 22:67 kaongopa
au wewe huja muelewa? Ibrahim uliye mnukuu ni kaumu gani?
Utakuja kujicheka mwenyeo na uje uone aibu bure.

Maana unazungumzia Ibada na Sheria wakati kinachozungumziwa ni Sifa.

Ukisema MUNGU HADANGANYI, maana yake hakuna siku hata moja atakayokuja Kudanganya. haijaalishi umma upi.

Kwaio, SIFA sio SHERIA wala IBADA.... Unashindwa kutofautisha ivi vitu.... naongea maembe wewe unaongea shokishoki πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€

Unajipiga mateke mwenyewe, sasa nliposema kuwa Mungu anawapa mtihani watu wake ukaja na bonge la picha kuwa mungu hafanyi ivo vitu, sasa nlipokuletea aya kwenye kitabu chenu wenyewe ukageuka kuwa eti ulikuwa umma mwengine kwaio ibada na sheria ni tofauti (wakati hatuzungumzii ibada wala sheria), sasa hio verse uloileta wewe ni ya umma upi? utwambie ilikuwa lini tukio hilo mpaka hio aya ikasema kuwa mungu hajaribiwi wala hamjaribu mtu?
 
Mungu anajua zaidi ya yale tunayoyajua sisi ndio maana hakuna aijuae kesho yake isipokua Mungu tu, Na hakuna nafsi itakayodhulumiwa wote hao wanaoteseka watapata haki zao siku ya mwisho. Cha muhimu ni kuzidi kuwaombea
 
kwani sasa tupo umma upi
 
kwani sasa tupo umma upi
Nafikiri wewe ndio ungetujibu tupo Umma upi hivi sasa? Kwa sababu nnavojua mimi Mungu anatupa mitihani saiv, na unavotwambia wewe Mungu hampi mitihani mja wake kwa mujibu wa maandiko uloleta ambayo hayakuspecify muda.

Ukishajibu hilo na hili unijibu mana huna sifa ya kujibu masuali ukiulizwa maana unaona utadhalilika badala ya kufikiri kuwa utapata elimu, nataka nijue, Mungu huyu wa wakati wa Ibrahim ndio Mungu huyu huyu mnaemfuata wakiristo?
 

Kama Mungu wako anafanya mambo ya SIRYA yaende kama yanavyoenda basi Mungu wako ni mshamba sana na mpenda sifa. Haiwezekani watu wanakufa na yeye yupo tu pembeni and anazidi kuchochea kuni watu wafe ili yeye tujuw tu kama yupo!!!! MUNGU wako hajiamini kwa kweli, na sasa ameamua kuladhimisha watu kilazima kama yupo.
 

Mungu ni Yule Yule jana leo hata mwisho wa dahari


acha kufuru chilubi Mungu akupe mtihani hakujui? ni sawa unajua mwanao mwizi halafu unamuwekea laki mezani ili aibe umfunge jela
 
Upo sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…