hypothalamus
Senior Member
- Feb 19, 2018
- 126
- 153
Nimejiuliza hili swali asubuhi ya leo
Tunaambiwa na vitabu vya dini kwamba Mungu ni muweza wa yote,yeye hujua kitu kabla hata hakijatokea
Kauli hii inamaanisha kila kinachotokea huwa kina "approval" ya Mungu
Je Mungu ame "approve" machafuko ya Syria?
Kama haku "approve" kwa nini yametokea?
Mungu haoni kama kuna watoto wanateseka pale,mpaka aombwe?kwa nini anayaacha yaendelee?
Labda wanaosambaza kampeni ya Pray for syria mnaweza jibu maswali haya