Jamani kuna nguzo zimechimbiwa kuanzia ubalozi wa Urusi hadi darajani. Inaonyesha kuwa kuna bango kubwa sana lintawekwa ambalo litaziba mandhari yote ya eneo lile ndiyo maana waheshimiwa wanasema upuuzi. Kwa kweli ni jambo zuri. Ni vizuri wahusika wakachukua hatua sasa wasingoje when is too late.