Laptop01
JF-Expert Member
- Nov 29, 2009
- 1,426
- 881
Hivi mmeona ule upuuzi unaotaka kuendelea pale Salender Bridge? umeanza upande wa Ubalozi wa Urusi....
Mwenye macho haambiwi ona
Tuambie Mkuu. Huku Kasulu hatuwezi kuona huo upuuzi. nambie babake
Hivi mmeona ule upuuzi unaotaka kuendelea pale Salender Bridge? umeanza upande wa Ubalozi wa Urusi....
Mwenye macho haambiwi ona
Hivi mmeona ule upuuzi unaotaka kuendelea pale Salender Bridge? umeanza upande wa Ubalozi wa Urusi....
Mwenye macho haambiwi ona
mobulaizi yako ni kupigia kura CHADEMA TRH 31 mkuuhIVI TUKIACHA UJINGA NA KUANZA KUCHUKUA HATUA tutapunguza kulalama.
Wananchi tujimobulaizi tukang'oe nguzo zile na mabango yao ikibidi