Kinachoendelea SALENDER BRIDGE | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kinachoendelea SALENDER BRIDGE

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by friendsofjeykey, Sep 23, 2010.

 1. f

  friendsofjeykey Senior Member

  #1
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hivi mmeona ule upuuzi unaotaka kuendelea pale Salender Bridge? umeanza upande wa Ubalozi wa Urusi....

  Mwenye macho haambiwi ona
   
 2. Mchizi

  Mchizi JF-Expert Member

  #2
  Sep 23, 2010
  Joined: Apr 23, 2009
  Messages: 675
  Likes Received: 847
  Trophy Points: 180
  Upuuzi upi huo fafanua,si wote tupo dar au tumepita hapo salender bridge
   
 3. b

  balenyaguje Member

  #3
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwani kuna nini? ebu tupe habari kidogo .wengi tuko mbali
   
 4. M

  MKUDE WA MGETA Member

  #4
  Sep 23, 2010
  Joined: Sep 10, 2008
  Messages: 27
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mwaga mabo bwana huku mgeta siunajuwa tupo tanganyika
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,328
  Likes Received: 22,172
  Trophy Points: 280
  Wamesimika ngozo, nadhani wanataka kuweka mabango makubwa ya biashara
   
 6. The Good

  The Good Senior Member

  #6
  Sep 23, 2010
  Joined: May 26, 2010
  Messages: 152
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Jamani kuna nguzo zimechimbiwa kuanzia ubalozi wa Urusi hadi darajani. Inaonyesha kuwa kuna bango kubwa sana lintawekwa ambalo litaziba mandhari yote ya eneo lile ndiyo maana waheshimiwa wanasema upuuzi. Kwa kweli ni jambo zuri. Ni vizuri wahusika wakachukua hatua sasa wasingoje when is too late.
   
 7. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #7
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  kunani? wengine tupo dunia nyingine hatupiti hapo salender
   
 8. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #8
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Nakumbuka kuna mwaka mtu mmoja alitaka kushitakiwa na tume/baraza la mazingira kwa kukata mikoko na kutaka kuweka bango la tangazo, sasa inakuwaje sasa hivi waruhusu?
   
 9. Emma Lukosi

  Emma Lukosi Verified User

  #9
  Sep 23, 2010
  Joined: Jul 22, 2009
  Messages: 932
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Kuna nini wewe Acha kutuzingua,:mad2: Leo hujaenda Fiesta :A S 100:
   
 10. Pengo

  Pengo JF-Expert Member

  #10
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 15, 2009
  Messages: 579
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Tupe maana ya neno NGOZO
   
 11. Joseph

  Joseph JF-Expert Member

  #11
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 3, 2007
  Messages: 3,527
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Amemaanisha NGUZO.
   
 12. AK-47

  AK-47 JF-Expert Member

  #12
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 12, 2009
  Messages: 1,381
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Isije kuwa ni kwa ajili ya mabango ya mheshimiwa swahiba wako maana sasa anafanya kufuru lakini haisaidii kitu
   
 13. b

  balenyaguje Member

  #13
  Sep 23, 2010
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ...mimi nimoena manguzo yamepandikizwa sijajua ni nini kinachoendelea?
   
 14. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #14
  Sep 23, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Lazima liwe bango la JUMA KILAZA (JK) and FISADIZZZZZZZZZZZZZ
   
 15. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #15
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280
  Bongo ukisikia mtu anakubania usifanye jambo fulani mahala fulani ujue anataka umpoze.

  Watu watakuwa wameshapozwa tayari.

  [Na hilo bango lazima litakuwa na watu wa Bombay tu]
   
 16. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #16
  Sep 23, 2010
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,179
  Likes Received: 895
  Trophy Points: 280

  Kasome Kamusi ya TUKI

  [Usituzingue hapa]
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Ni mabango ya CCM....pure polution of the environment
   
 18. Beauty

  Beauty JF-Expert Member

  #18
  Sep 23, 2010
  Joined: Feb 6, 2008
  Messages: 540
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  basi kazi ipo
   
 19. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #19
  Sep 23, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,469
  Likes Received: 5,847
  Trophy Points: 280
  Amepewa mtu kujenga pale ndio anaweka uzio wa mabati ambayo yatakuwa na mabango ya CCM....ILE MIKOKO YOOTE itakatwa
   
 20. Shapu

  Shapu JF-Expert Member

  #20
  Sep 23, 2010
  Joined: Jan 17, 2008
  Messages: 1,918
  Likes Received: 240
  Trophy Points: 160
  friends-of-jk.....mmh kumbe wamo!
   
Loading...