Kinachoendelea Kigoma "KARIBU SHUJAA ZITTO KABWE".

Status
Not open for further replies.
Bado zzk ni shuja, mlango mmoja ukifungwa mwingine hufunguliwa

sio mbaya,lakini sijajua huo ni ushujaa wa aina gani mtu anayekua pembeni mwa CCM,akishabikiwa na CCM halafu akaja kuiokoa TZ kwa kuwadhibiti Mafisadi na wala nchi.yani vijana wa CCM wakufurahie mtu unayetaka kuwaondoa?hiyo sio CCM.tusubiri tuone
 
Hakika umenena, Kazi wafanye wengine kula ule wewe haya ni mambo ya Fisi hayakubaliki,

ni kweli kabisa mkuu,Zito namkubali sana,sipendi zito atoke au aondolewe CDM ila tumkosoe zito ili tumjenge zaidi.Zito anakosea hata mambo ya msingi.Next time tutawasema na hao akina mbowe pia.
 


Ona kijana mwenzie mwigulu anavyowapiga makombora,hakuna hata wa kuamulia.Ila yeye anataka Uenyekiti na Urais.Halafu ccm wajanja,eti wanashabikia upande wa zito.AJABU!
 

Wewe Njano5,
Hivi kwanini habari ni za Chadema tu?Kwani hakuna vyama vingine?Au hivyo vingine vipi vizuri sana?Kwanini Zitto isiwe lulu kwa chama kingine badala yake nyie muone kuwa lulu kwa Chadema tu?lipo jambo si bure.Furahini kwa kuwa Zitto sasa mnakaribia kumpata kwenye chama chenu.Mimi sidhani kama anaonewa. Kwenye matumizi ya fedha hakuna chama kilicho safi nchi hii labda wewe hujajua tu.Hushtuki kuona Nape alivyoingia na sasa mwili wake ukoje?Muulize fedha wanazojilipa wanapokwenda mikoani kwenye ziara zao.Ndipo utajua kuwa hivi vyama vyote vipo kwa manufaa ya kuwanyonya wananchi ukiwemo wewe kama si kiongozi.
 
Nelson Madiba Mandela alikuwa mhaini na akafungwa na alipokuwa kifungoni wananchi walimuona ni shujaa na mwisho wa siku akawa rais wa hao waliomfunga na wananchi waliokuwa nyuma yake. Unaweza kumwita ZK msaliti lakini wananchi wake wanamhitaji

Asante mkuu umemaliza ni kweli wananchi wake wanamwitaji(wangapi hao), ningemwona shujaa kama watanzania wangemwitaji na si wananchi kadhaa maana hata Habibu mchange na Shonza ni wananchi pia....kwa hiyo msaliti anawafuasi pia kumbuka ila ni wangapi hilo ni suala lingine....wanakigoma nendeni mkamsilkilize huyo kijana wenu ila mchuje mchele na chuya...
 
hahahaaa, inanikumbusha primaries za CCM 2010.... pesa ilitumika na pesa iliongea

penye udhia, penyeza rupia
 

"We can not let emotions to overcome reasons" by Francis Imbuga, bwana Njano5 hauhutaji darubin kuuona usariti na unafiki wa zitto huo udhaifu wa Mbowe mnazungumza kinadharia na hasa huwa ni mambo binafsi....kama anademu nje ya ndoa kama anavyodai mwigulu na washabiki wengine hiyo inaniathiri ni nini kwenye afya au pembe jeo za kilimo. Nasema asante hao TCRA wanaotaka kufunga mitambo kudhibiti hizi tafiti za kukopi mitandaoni hizo ndizo zinafanya tuwe na wasomi puppets na wenye njaa kushabikia masuala binafsi ya familia ya mtu. M4C daima , namwamini Mbowe inayekera akajingonge tu, tena akigombea natamani apewe nafasi tena sio hao njaa Ztto puuzi kabisa!!!!!!!!!!!
 

Nakubaliana na wewe mkuu,ktk maisha lazima awepo mtu au watu uliotoka nao mbali.hiyo haikwepeki ktk maisha.Lakini mimi binafsi sishabikii zito afukuzwe,nahitaji zito abadilike.Point of correction,mimi sio cdm ila nazifatilia sana siasa za nchi yetu tu.ondoa neno "Mnachelewa sana kumfukuza".pia kufukuzana kwa kila jambo sio dawa maana hata Zito nae ana malalamiko ya msingi.
 

mkuu huwezi kukubalika ccm na cdm wakati mmoja na bila kuleta madhara upande wowote,labda tuwe mbinguni sio duniani.CCM sio kwamba inampenda zito,bali inahitaji information za cdm ili iwabomoe vizur!hawa jamaa wameona sio rahisi kuibomoa cdm kupitia Dr.slaa au Mbowe,wakajenga sana mahusiano na ZZK na ndio wanaotamani zzk awe M/kiti kwakua jamaa ni negotiable.hatuhitaji digrii kujua haya mambo mkuu
 
Hayo nimasilai ya nchi muwe mnaacha kuandika vitu vya mke na mume au mmeaza kukosa vyakuandika kwanin usimuseme demu wako
 

We unalevo ya kumshauri Zitto! We subiri tu mwisho wa mwezi babu akupe chaku maana unamfanyia kazi nzuri
 
Wanadamu bwana kaazi kweli kweli. Si ndio ninyi mlikuwa mnasifia Zitto kwa nguvu zote na kumwita kamanda juzi juzi tu hapa? Leo Zitto msaliti tena!!!!! Ehe eheee hii kaazi kwelikweli. Mbowe na Slaa na nyie jiandaeni jamani midomo hii inayowapamba leo ndio itakayowavua nguo kesho. Unajua apandacho mtu ndicho atakachokivuna. Maandamano mliokuwa mnawaandalia wengine ndio na ninyi mnayoandaliwa sasa.
 

Saa tisa unakiherehere zaidi ya mwanamke mjamzito
 
Kwa taarifa zaidi, Maandalizi yanaendelea vizuri ikiwa ni pamoja na kurushwa live kwa mkutano huo na kituo cha startv huku uratibu mzuri ukiwa chini uv-ccm.

mkuu usianye ile nafasi ya Unaibu katibu mkuu inakuhusu kutokana na jina lako na imani yako...endelea kupambana kupingana na ukweli ili uikwae hiyo nafasi
 
Safi sana shujaa.
Naona vijana wa bavicha wana haha....
 
Mkutano ulioandaliwa na mbunge wa Kigoma Kaskazini Zitto Kabwe yamekamilika. Mkutano wa Zitto kesho utaanza na maandamano yatakayoanzia uwanja wa ndege hadi Mwanga Centre ambapo ndipo atakapofanya mkutano.
Kwa siku mbili mfululizo umekuwa ukiandaliwa na mh. Juma ambaye ni katibu wa chama cha CUF Kigoma, Katibu wa Zitto Dr. Alex, pamoja na Mwenyekiti wa CCM kigoma ndg Masuko.

Katika hatua nyingine mwenyekiti wa CHADEMA jimbo la kigoma kaskazini Kamanda Ally ambaye aliunga mkono ziara ya Dr. Slaa ametengwa na viongozi wa jimbo hilo, kwa kitendo chake cha kuunga mkono ziara ya Dr. Slaa.

Stay tuned!
 
Zitto ni zaidi ya Mobutu seseko, Zitto ni zaidi ya Hitler, Zitto ni zaidi ya kaburu Botha, Zitto ni zaidi ya Mwigulu, Zitto ni zaid ya Osama na Talban...

ZITTO NI JANGA LA KITAIFA.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…